Natabiri mapema hapa Mtoto Mmoja wa Marehemu Kuteuliwa nyadhifa za Serikalini / Siasa

Natabiri mapema hapa Mtoto Mmoja wa Marehemu Kuteuliwa nyadhifa za Serikalini / Siasa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Katilka nafasi za DAS au RAS au DED au DC au RC na hata Ubunge wa Kuteuliwa na Mheshimiwa Rais aliyeko.

Na hili linaweza kufanyika ndani ya Miezi Sita au Kenda (Tisa) au hata Miezi Kumi na Mbili ijayo ili Kuwafariji na Kubebana.

Uzi wangu huu Utunzwe tafadhali.
 
unamaanisha kijana wa kachero ama? we jamaa kujitia mganga duh hatari sana we we 😀 😀 😀 😀 😀
 
Hii mbona ni given? Watoto wa wakubwa na wenyewe huja kuendeleza jina la baba yao katika nyadhifa mbalimbali kubwa siasani. Unashangaa watoto ambao wanajulikana? Wapo ambao hata ubini wa jina hawatumii kwa kuwa walizaliwa nje ya ndoa, siku hizi tunawaita watoto wa michepuko, huja kupata nyadhifa. Hii dunia ina siri nyingi sana
 
Katilka nafasi za DAS au RAS au DED au DC au RC na hata Ubunge wa Kuteuliwa na Mheshimiwa Rais aliyeko.

Na hili linaweza kufanyika ndani ya Miezi Sita au Kenda ( Tisa ) au hata Miezi Kumi na Mbili ijayo ili Kuwafariji na Kubebana.

Uzi wangu huu Utunzwe tafadhali.
Magufuli mtoto wa dadake alimuweka Azina
 
Back
Top Bottom