Natabiri Paul Makonda atakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2030

Natabiri Paul Makonda atakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2030

Dah inasikitisha sana.
Huko CCM kama hakuna mwenye sifa toshelevu kupewa nafasi unayompigia chapuo Makonda basi tuna tatizo kubwa sana katika taifa letu.

Mungu tulinde na majaribu haya.
 
So kwakuwa unaumia Kwa watu kutomkubali ndo unakuja na illusions zako za kichwani na kujifanya mtabiri?
Boss unaweza kuniambia kwa nini humuitaji makonda ?? Msipandikizwe ubaya kwa kusikia kwa watu au kusoma kwenye magezeti na mitandao je wewe makonda alishawahi kukufanyia ubaya acheni chuki hizo haijengi kwa taarifa mwamba akiwa raisi hii Tanzania itaheshimika sana.
Tumuombee kwa pamoja awe rais ajaye wa JMT
ahsante
 
Nimekula matusi kuna thread ipo humu, kisa ku-support makonda [emoji16][emoji16][emoji16]
Uvumilie sana ila kikubwa watanzania tunaambukizana uninga unamchukia makonda kwa kusikia kwenye mitandao je wewe alishawahi kukufanyia ubaya?

Sometimes wanasiasa wanajidhuru wenyewe ili kumuharibia mtu utasikia mtu fulani kafanya hivyo na wewe bila hata uchunguzi unajenga chuki juu ya huyo mtu tubadilike.

Mungu amsaidie makonda awe rais naamini uwezo wa makonda kwenye uongozi anakarma kzbwa sana
.
 
Habari Wana JF

Nisipende kuzunguka Sana Ni Kwamba PAUL MAKONDA anaenda Kuwa Raisi Wa Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania mwaka 2030 Tuombeni Uhai

Ukweli Ni kwamba Paul makonda anapitia wakati mgumu sana ila huwa anakuwa na uvumilivu wa Kuyabeba wengi Wenu Mnamchukia sana Huyu Mwamba naamini Mungu atamsimamia kwa kila Hatua anayopita na kila baya mnalomfanyia.

Ukweli ni Kwamba naumia sana kumuona mh.paul makonda kila analofanya nyinyi mnaliona baya.

Hivi kwa nini huwa mnamchukia huyu mwamba,hivi kwa nini huwa hampendi huyu mwamba?

Je kitu gani kinawafanya nyinyi mum mumuone tofauti wakati makonda ni mtete wa wanyonge?

Kikubwa na kwamba binadamu wengi wa Tanzania mmejaa chuki nyingi sana juu ya huyu mwamba.

Naumia sana kumuona mtu mwenye kipawa cha uongozi mnakichukia.

Ombi langu hii hazina ya mtu kama makonda anatakiwa atunzwe sehemu ili mwisho wa siku aje kuikomboa hii Tanzania.

Poul makonda mheshimiwa wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania ajaye sina cha kuongea zaidi ila naamini kila baya litapita na utakuja kushinda hii vita.

Hapa nipo mbioni kuhama mkoa kumfuata mh.poul makonda huko ARUSHA popote atapo hama mimi nitamfuata .

Moyo wangu unafarijika kumuona makonda ananyazifa katika serikali hii.

Mungu naomba huyu mtu umtie nguvu kwa kila jambo.

Nina mengi sana juu ya makonda lakini huko ulipo nakuombea dua njema na nipo mbioni hadi mwezi wa Tano panapo majaliwa nitakuwa Arusha najisikia raha sana unapokuwa na uongozi sehemu mojawapo ya serikali ya Tanzania.

Mungu akulinde na mabaya,akuepushie wabaya wote wanaokuombea dua mbaya mh.poul makonda.

Nahakikisha nitakuwa mwananchi wako mwema juu yako kwa kila jambo

Ahsante.
Kuna uchaguzi 2025,

Iweje uongelee 2030?

Rais wa 2025 unamjua?
 
Back
Top Bottom