Natabiri Paul Makonda atakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2030

Dah inasikitisha sana.
Huko CCM kama hakuna mwenye sifa toshelevu kupewa nafasi unayompigia chapuo Makonda basi tuna tatizo kubwa sana katika taifa letu.

Mungu tulinde na majaribu haya.
 
So kwakuwa unaumia Kwa watu kutomkubali ndo unakuja na illusions zako za kichwani na kujifanya mtabiri?
Boss unaweza kuniambia kwa nini humuitaji makonda ?? Msipandikizwe ubaya kwa kusikia kwa watu au kusoma kwenye magezeti na mitandao je wewe makonda alishawahi kukufanyia ubaya acheni chuki hizo haijengi kwa taarifa mwamba akiwa raisi hii Tanzania itaheshimika sana.
Tumuombee kwa pamoja awe rais ajaye wa JMT
ahsante
 
Nimekula matusi kuna thread ipo humu, kisa ku-support makonda [emoji16][emoji16][emoji16]
Uvumilie sana ila kikubwa watanzania tunaambukizana uninga unamchukia makonda kwa kusikia kwenye mitandao je wewe alishawahi kukufanyia ubaya?

Sometimes wanasiasa wanajidhuru wenyewe ili kumuharibia mtu utasikia mtu fulani kafanya hivyo na wewe bila hata uchunguzi unajenga chuki juu ya huyo mtu tubadilike.

Mungu amsaidie makonda awe rais naamini uwezo wa makonda kwenye uongozi anakarma kzbwa sana
.
 
Kuna uchaguzi 2025,

Iweje uongelee 2030?

Rais wa 2025 unamjua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…