Natabiri Paul Makonda atakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2030

Labda wenye akili wawe wameshakufa!
 
Acha kuota shituka usije ukanya kitandani watoto wakakucheka.
 
Mataifa ya kiafrika kweli nimeamini yana laana,yani kuna mtu kabisa anakaa kichwani anamuona Makonda kuwa ana qualify kuwa Rais.
Aseee,Tuna shida kwenye bongo zetu suo bure.
 
Marekani wamemtambua kama jambazi,muhuni,halafu CCM wanampa vyeo.
Sasa ushaona mzungu ni mwema kwako haya basi si unataka kila wanachosema wazungu vua nguo wakufilimbe maan wazungu wanataka wanaume mliwe kinyeo kwasabbu naona unatak vya wazungu
 
Sasa ushaona mzungu ni mwema kwako haya basi si unataka kila wanachosema wazungu vua nguo wakufilimbe maan wazungu wanataka wanaume mliwe kinyeo kwasabbu naona unatak vya wazungu
Lugha gani hizo?Hebu acha matusi aisee!Okoka na uwe mtiifu kwa Bwana Mungu wako.Siyo lazima lakini!
 
Hata Mimi, nimeonyeshwa, Samia atakuwa mchumba wangu 2045,wakati huo Warioba ni dereva wangu, Tulia akson,atakuwa Mke wa pili wa Tundu lisu!
 
Ndivyo alivyojitabiria kupitia Uzi wa magamba matatu!!

Ukiangalia teule zake huyu jamaa na ukubwa wa utendaji wake unazidi kipimo cha nafasi aliyoteuliwa!!

Akiwa mwenezi akatenda kama mwenyekiti,akiwa RC anatenda kama Rais wa Arusha ana weka standard ya wengine wanapaswa kuwa hivyo kama yeye!!

"Huwa naongea nae ndotoni huyu jamaa sielewi Huwa tunaongea Nini ni kana kwamba napokea maagizo au tunajadiliana maswala fulani"

Anaandaliwa huyu sio kwa mzigo huo anaopiga!!
 
Mashabiki wa Makonda ni watu wenye upeo mdogo sana wa akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…