Natabiri Rais wa taifa kubwa huko Ulaya atapumzishwa jambo la kutisha sana

expand...Mashariki mwa UKRAINE vimegundulika vituo vya maabara za kutengeneza silaha za kibiologia zenye ufadhili wa Marekani, je hizo ni za nini?
Wewe siasa huijui wala hutoifahamu.
Nenda kanisani kahubiri injili itakusaidia kwenye Maisha yako.
Weka ushahidi hapa from reliable media/source, short of that ni story za vijiweni jombaa
 
Nadhani zama Hizi Mungu hadhiakiwi na ameamua kushuka nakutoa hukumu ili dunia ijifunze nakukumbuka Yeye yupo na hakuna mwanadam au kiongozi Yeyote ana kuwa na haki kutoa roho ya mwenzake kwa wivu na uchu wa madaraka.

Siku sio nyingi Mungu anaenda kuonyesha jambo lakutisha sana jambo litaifanya dunia kukaa kimya nakumuogopa Mungu baada ya kiongozi mkubwa wataifa moja kubwa duniani kuzima akiwa usingizini. Na kifo hiko kitakuwa kifo cha shinikizo la damu na kitakuwa ghafla wakati wa usiku wa manane.

Ndugu zangu kifo hicho kita ambatana na msururu wa vifo vya majemedari na wakuu wa idara za taifa hilo jambo kila mtu atabaki kinywa wazi.

Taarifa za siri zinasema mkuu huyo amesha pewa red light na watu wakubwa na washauri wake ila moyo wake unataka kumwaga dam tu akiamini yeye ananguvu na hakuna wakumgusa. Amesahau kuwa goliati aliuwawa na kijana mbichi ambaye hakuwa na mafunzo ya kijeshi yeyote zaidi ya kuuwa dubu mwituni.

Siku zina hesabika kwa taifa hilo na kila mtu asali kwa imani yake. Amen
Nonsense
 
Yaani Putin afe kwa utabiri na dua ya mtu aliye vembewa
Uji wa magimbi maboga mahindi ya kuchoma kisha akala na uyoga kwanza akijamba mliokaribu lazima mtapata SUMUKUVU
 
Hizo ni wish zako tu.
Putin atakufa lakini siyo kisa ya vita vya Ukraine. Ikifika siku yake ya kufa atakufa tu.

Nadhani unahisi Marekani ana Intelligence kubwa kuliko KGB.
KGB haipo Mkuu, Siku hizi ni GRU
 
Ha ha ha!! Ila wenye ugomvi wao Warusi na Ukraine wangejua namna huo ugomvi hujadiliwa Bongo, wangekua wanacheka sana.
Sidhani Kama kuna taifa lingine duniani ambapo wananchi wanajadili hiyo vita na kujenga timu kama ifanyikavyo Tanzania.
 
Tunaamin kila mtu anakufa
Hata mimi natabiri siku ya kuondoka kwako yaja na itakuja kwa ghafla
Kama huwezi kutaja siku husika acha porojo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha ha!! Ila wenye ugomvi wao Warusi na Ukraine wangejua namna huo ugomvi hujadiliwa Bongo, wangekua wanacheka sana.
Sidhani Kama kuna taifa lingine duniani ambapo wananchi wanajadili hiyo vita na kujenga timu kama ifanyikavyo Tanzania.
Bora wanaojadili kuliko wale walioanza kushoboka wakaambiwa wanatikisa matako tu.........mrusi kawaambia wakenya walimit hizo shobo zao.......dunia nzima inaijua Kenya ni vinara wa shobo,hongereni kwa hilo dunia inawatambua.........
 
Nadhani zama Hizi Mungu hadhiakiwi na ameamua kushuka nakutoa hukumu ili dunia ijifunze nakukumbuka Yeye yupo na hakuna mwanadam au kiongozi Yeyote ana kuwa na haki kutoa roho ya mwenzake kwa wivu na uchu wa madaraka.

Siku sio nyingi Mungu anaenda kuonyesha jambo lakutisha sana jambo litaifanya dunia kukaa kimya nakumuogopa Mungu baada ya kiongozi mkubwa wataifa moja kubwa duniani kuzima akiwa usingizini. Na kifo hiko kitakuwa kifo cha shinikizo la damu na kitakuwa ghafla wakati wa usiku wa manane.

Ndugu zangu kifo hicho kita ambatana na msururu wa vifo vya majemedari na wakuu wa idara za taifa hilo jambo kila mtu atabaki kinywa wazi.

Taarifa za siri zinasema mkuu huyo amesha pewa red light na watu wakubwa na washauri wake ila moyo wake unataka kumwaga dam tu akiamini yeye ananguvu na hakuna wakumgusa. Amesahau kuwa goliati aliuwawa na kijana mbichi ambaye hakuwa na mafunzo ya kijeshi yeyote zaidi ya kuuwa dubu mwituni.

Siku zina hesabika kwa taifa hilo na kila mtu asali kwa imani yake. Amen
Oyaa mwamsheni asije akajikojolea...kumekucha[emoji1787]
 
Ni mwaka wa tatu huu unaingia. Hakuna chochote kilichotokea betting ya mshikaji imefeli vibaya.
Nabii fekii ushindwe na ulegee zaidi
 
Huu utabiri umekwama? Au bado muda haujafika ?
 
Back
Top Bottom