Weka ushahidi hapa from reliable media/source, short of that ni story za vijiweni jombaaexpand...Mashariki mwa UKRAINE vimegundulika vituo vya maabara za kutengeneza silaha za kibiologia zenye ufadhili wa Marekani, je hizo ni za nini?
Wewe siasa huijui wala hutoifahamu.
Nenda kanisani kahubiri injili itakusaidia kwenye Maisha yako.
Ahaaa nimekumbuka! Chawa wa Zelensiki😳😳Ehh.[emoji2][emoji2][emoji2]
Hapana Mimi ni bwana ake mpya nimemrithi Toka Kwa Bro stone si unajua Mila na tamaduni zetu kuwasitiri wajane wasijihisi wapweke kama maandiko matakatifu yanavyosema
Ataish milele si et eehPutin hawexi kufa
NonsenseNadhani zama Hizi Mungu hadhiakiwi na ameamua kushuka nakutoa hukumu ili dunia ijifunze nakukumbuka Yeye yupo na hakuna mwanadam au kiongozi Yeyote ana kuwa na haki kutoa roho ya mwenzake kwa wivu na uchu wa madaraka.
Siku sio nyingi Mungu anaenda kuonyesha jambo lakutisha sana jambo litaifanya dunia kukaa kimya nakumuogopa Mungu baada ya kiongozi mkubwa wataifa moja kubwa duniani kuzima akiwa usingizini. Na kifo hiko kitakuwa kifo cha shinikizo la damu na kitakuwa ghafla wakati wa usiku wa manane.
Ndugu zangu kifo hicho kita ambatana na msururu wa vifo vya majemedari na wakuu wa idara za taifa hilo jambo kila mtu atabaki kinywa wazi.
Taarifa za siri zinasema mkuu huyo amesha pewa red light na watu wakubwa na washauri wake ila moyo wake unataka kumwaga dam tu akiamini yeye ananguvu na hakuna wakumgusa. Amesahau kuwa goliati aliuwawa na kijana mbichi ambaye hakuwa na mafunzo ya kijeshi yeyote zaidi ya kuuwa dubu mwituni.
Siku zina hesabika kwa taifa hilo na kila mtu asali kwa imani yake. Amen
KGB haipo Mkuu, Siku hizi ni GRUHizo ni wish zako tu.
Putin atakufa lakini siyo kisa ya vita vya Ukraine. Ikifika siku yake ya kufa atakufa tu.
Nadhani unahisi Marekani ana Intelligence kubwa kuliko KGB.
Kama vile ulivyokuwa ukiamini kwamba JIwe hawezi kwenda Jongomeo🤔Putin hawexi kufa
Log in to:Weka ushahidi hapa from reliable media/source, short of that ni story za vijiweni jombaa
Bora wanaojadili kuliko wale walioanza kushoboka wakaambiwa wanatikisa matako tu.........mrusi kawaambia wakenya walimit hizo shobo zao.......dunia nzima inaijua Kenya ni vinara wa shobo,hongereni kwa hilo dunia inawatambua.........Ha ha ha!! Ila wenye ugomvi wao Warusi na Ukraine wangejua namna huo ugomvi hujadiliwa Bongo, wangekua wanacheka sana.
Sidhani Kama kuna taifa lingine duniani ambapo wananchi wanajadili hiyo vita na kujenga timu kama ifanyikavyo Tanzania.
Oyaa mwamsheni asije akajikojolea...kumekucha[emoji1787]Nadhani zama Hizi Mungu hadhiakiwi na ameamua kushuka nakutoa hukumu ili dunia ijifunze nakukumbuka Yeye yupo na hakuna mwanadam au kiongozi Yeyote ana kuwa na haki kutoa roho ya mwenzake kwa wivu na uchu wa madaraka.
Siku sio nyingi Mungu anaenda kuonyesha jambo lakutisha sana jambo litaifanya dunia kukaa kimya nakumuogopa Mungu baada ya kiongozi mkubwa wataifa moja kubwa duniani kuzima akiwa usingizini. Na kifo hiko kitakuwa kifo cha shinikizo la damu na kitakuwa ghafla wakati wa usiku wa manane.
Ndugu zangu kifo hicho kita ambatana na msururu wa vifo vya majemedari na wakuu wa idara za taifa hilo jambo kila mtu atabaki kinywa wazi.
Taarifa za siri zinasema mkuu huyo amesha pewa red light na watu wakubwa na washauri wake ila moyo wake unataka kumwaga dam tu akiamini yeye ananguvu na hakuna wakumgusa. Amesahau kuwa goliati aliuwawa na kijana mbichi ambaye hakuwa na mafunzo ya kijeshi yeyote zaidi ya kuuwa dubu mwituni.
Siku zina hesabika kwa taifa hilo na kila mtu asali kwa imani yake. Amen
TunakaribiaHuu utabiri umekwama? Au bado muda haujafika ?