Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
🤔Urusi uzuri wake husubiri achokozwe na ndipo hujibu....
Putin ni mwamba sana linapokuja suala la kisasi.Hata mi nawaza hivyo alihaidi akichokozwa tena kuna harsh response ngoja tuone
...mbaya zaidi Urusi siku hizi analenga miundombinu ya muhimu pekee .Yaani leo au kesho, Kiev itakuwa majivu maeneo mengi sana
Mm nataka watume drone Kamikaze iondoke na kichwa cha Zelensky...mbaya zaidi Urusi siku hizi analenga miundombinu ya muhimu pekee .
Afu wakikuletee? hata akiondoka utaratibu ni kuendelea na vita mpaka ijulikane.Mm nataka watume drone Kamikaze iondoke na kichwa cha Zelensky
Watashambuliwaje wao wana air defense?Urusi uzuri wake husubiri achokozwe na ndipo hujibu....
Baada ya kuchokozwa na kushambuliwa meli zake kule baharini natabiri pale Kiev leo hakutalalika na tutarajie kichapo cha haja.
Mm nataka watume drone Kamikaze iondoke na kichwa cha Zelensky
Pale palikuwa na Meli za chakula, wana mkataba ndani ya vita ikiwemo kuruhusu exchange ya nafak.
Leo Russia wamemua kusitisha, then kw kosa la kushambulia vyakula (terrorism) , retaliation sijui itkuwje
Zile ufanisi wake ni kidogo sanaWatashambuliwaje wao wana air defense?
Sasa kama ni kisisasi kwanini allikuja kuvamia nchi ya watu kwa matakwa ya kipumabvu. Yeye anapiga miundo mbinu ya ukrain sasa Yeye akipigwa iwe nongwa. Huko kupigwa anakutaka kwa vile ameenda kuvamia ardhi ya watu.Putin ni mwamba sana linapokuja suala la kisasi.
Yeye kaenda kuua MAGAIDI ana baraka zoteSasa kama ni kisisasi kwanini allikuja kuvamia nchi ya watu kwa matakwa ya kipumabvu. Yeye anapiga miundo mbinu ya ukrain sasa Yeye akipigwa iwe nongwa. Huko kupigwa anakutaka kwa vile ameenda kuvamia ardhi ya watu.
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Upo kwenye vita unasema eti nikichokozwa hii ni FUTUHI kabisa.Hata mi nawaza hivyo alihaidi akichokozwa tena kuna harsh response ngoja tuone