Natabiri Urusi atatembeza kichapo cha haja leo usiku hapo Ukraine

Natabiri Urusi atatembeza kichapo cha haja leo usiku hapo Ukraine

Yeye kaenda kuua MAGAIDI ana baraka zote
Matokeo yake anatembezewa mkong'oto yeye mwenyewe mpaka anajificha kwenye andaki kama nguchiro [emoji2][emoji16]
1663764489838.jpg


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Urusi uzuri wake husubiri achokozwe na ndipo hujibu....

Baada ya kuchokozwa na kushambuliwa meli zake kule baharini natabiri pale Kiev leo hakutalalika na tutarajie kichapo cha haja.
nan alimchokoza akaivamia Crimea ? nan alimchokoza akaivamia Ukraine ?
 
Pale palikuwa na Meli za chakula, wana mkataba ndani ya vita ikiwemo kuruhusu exchange ya nafak.

Leo Russia wamemua kusitisha, then kw kosa la kushambulia vyakula (terrorism) , retaliation sijui itkuwje
nafaka za ukraine unataka ziexchange si wiz huu ? wauze nafaka zao , hii Urusi aliwai ifanya hata mwaka 1940 aliivamia ukraine akawa anaiba nafaka , Urusi wapuuz sana
 
Katibu wa UN kafanya kazi bure kufanikisha chakula kusafirishwa lakini majitu yasiyo na akili yamevuruga mpango huo MAJITU ..
waliolipua ndio wenye nafaka wamezuia wizi , huu wiz sio mara ya kwanza Urusi kuufanya dhidi ya Ukraine
 
nafaka za ukraine unataka ziexchange si wiz huu ? wauze nafaka zao , hii Urusi aliwai ifanya hata mwaka 1940 aliivamia ukraine akawa anaiba nafaka , Urusi wapuuz sana
Sema mrusi kiboko ya wapuuzi😄😄
 
nan alimchokoza akaivamia Crimea ? nan alimchokoza akaivamia Ukraine ?
Zilianzia mbali na aliwaonya kipindi chote,kuwa Nato kusogea mlangoni kwake ni sawa na mwana alitafutaye mwana atalipata,na huenda Leo hii Ndio maana ya mwanakulitafuta🥱
 
Hata mi nawaza hivyo alihaidi akichokozwa tena kuna harsh response ngoja tuone
urusi achokozwe mara ngapi, alisema ulaya na US wakiisaidia Ukraine silaha atazishambulia kwa nuclear sasa mpaka US na ulaya wanajipigia kwa pasi yeye ndo kwanza anakodi ndege za kivita toka Iran
 
Eti akichokozwa Sasa si yupo vitani Kuna frontline YA Ukraine ipo huko Kerson, Na maeneo mengine ashambulie huko Sio kuja kupiga raia ambao hawahusiki chochote Na hivyo vita
 
Back
Top Bottom