Leo siku ya nne hakuna cha harsh response wala nini,ndiyo kwanza meli za nafaka zinaondoka kupeleka ngano inakotakiwa kwenda.Njoo na ngonjera zingine tena.
Utawaweza Warusi wa Goms,huwa wanapanga wenyewe na muda halafu baadae wanapata tena kazi ya kupangua wakiona Putin yupo kimya. Tulishawazoea tangu watuambie operation ya 72 hrs only na leo tupo mwezi wa kumi