Natabiri Yanga kutolewa na Mamelodi kwa jumla ya Magoli 7-1

man dunga

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2013
Posts
3,358
Reaction score
5,783
Jinsi wanavyojiona ni timu tishio kisa tu walimfunga simba kwa kubahatisha goli 5-1 , hawa watatolewa kirahisi sana na Mamelod.
Kwa mkapa watapigwa 3-1 na kule south watapiwa kama walivyopigwa na CRB plus goli 1.

Wao wanafikiri mfano wakikutana na simba nusu itakuwa ni rahisi kuitoa simba. Wanaamini kila siku ni jumamosi. Nawaambia hivi mfano wakikutana na simba nusu fainal wanaweza kupewa kipigo na wasiamini.

Kwa hatua ya robo fainal uto ndie underdog kuliko timu zote zilizofuzu .
 
Utadhani nyie mmeshapita.
 
Kiherehere cha nini? Tarehe 30 march siyo mbali.
 
huo ni uharo wako wa kutoa maoni
 
Zile 5 kufutika Kwenye akili ni ngumu
 
Mtaje aliyekupa mimba, bwege wewe
 
Yanga atapiga Ntu,zaidi ya kipigo cha Mwarabu,ila kolo atachezea virungu vya ugoko vipatavyo 8😅
 
Tuheshimu mpira wa miguu tuache ushabiki, tuchambue mpira kwa kuangalia viwango vya ubora wa wachezaji ndio tuje na hitimisho la michezo yote kwa timu zetu mbili Simba na Yanga! Kiukweli kabisa Yanga hawana deni hapa walipofikia ila wanaweza kwenda mbali zaidi kutokana na ubora walionao! Ninavyoona hata Mamelod wanaifikiria Yanga lakini mashabiki wengine wameshahitimisha kwa Yanga anakwenda kufa lakini kiuchambuzi na ukiwaona Yanga anavyocheza lolote linaweza kutokea!

HITIMISHO
Huu ni mpira wa miguu, mchezo unaopendwa duniani na hii ni kutokana na matokeo yake kutokutabirika kirahisi! Tuuheshimu mchezo huu ndani ya dk 90 au 120.
 
It is better to shut your mouth and let people suspect you are a moron than open it and remove all doubt.
 
Walibahatisha goli 5?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…