Tatizo kubwa la mentality za mashabiki wa hizi timu za kariakoo ni kutopenda kukubali uwezo wa mpinzani wako,last season Yanga ilidharauliwa mnoo kwenye competition iliyokuwa inaendelea hakuna aliyewaza watafika mpaka final kila hatua wanayoingia mashabiki wanasema hapa ndy mwisho wenu,baada ya kufika fainali wakageuza maneno hilo ni kombe la walioshindwa njooni huku kwa wanaume[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mungu sio mnafki wakapangwa kwenye group gumu la mabingwa watupu kwenye nchi zao kila mmoja akasema yake hamtoboi mwisho wanaume wapo quarter final sasa Wimbo ni mmoja tu hamtoboi[emoji2369]wanasahau kuwa hata wao wamepewa giant mwingine sijui sisi mashabiki wa timu za kariakoo tunatatizo gani?
Sent from my SM-A042F using
JamiiForums mobile app