Natabiri Yanga kutolewa na Mamelodi kwa jumla ya Magoli 7-1

Dua la MWEWE...
 
Mbumbumbu wapo wanashangilia draw
Ukiyaona yanavo furahi utadhani yenyewe hayana mechi
Mnadhani Ahly ni tawi lenu kama Tabora United

Nitamheshimu milele Rage aiyewaita mbumbumbu
Ila ya Yanga wenye akili wawili hiyo kauli manara ataonekana shujaa mpaka dunia inaisha
 
Mimi Simba ila hii mechi Yanga wanaweza wakaja na suprise, hata Mamelodi akipita atakuwa kama kuku aliyejiokoa kwa mbweha amenyonyoka manyoya.

Jamani Yanga Simba mbaya kihivo,inaweza ikatokea Simba akamtoa Al Ahly na Yanga akimtoa Mamelodi.
 
Mbumbumbu kwenye ujinga wako

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Usije ukaikimbia post yako
 
Mbumbumbu wapo wanashangilia draw
Ukiyaona yanavo furahi utadhani yenyewe hayana mechi
Mnadhani Ahly ni tawi lenu kama Tabora United

Nitamheshimu milele Rage aiyewaita mbumbumbu
Wameisahau mechi Yao kuchwa kutwa wapo na Yanga
 
Tatizo kubwa la mentality za mashabiki wa hizi timu za kariakoo ni kutopenda kukubali uwezo wa mpinzani wako,last season Yanga ilidharauliwa mnoo kwenye competition iliyokuwa inaendelea hakuna aliyewaza watafika mpaka final kila hatua wanayoingia mashabiki wanasema hapa ndy mwisho wenu,baada ya kufika fainali wakageuza maneno hilo ni kombe la walioshindwa njooni huku kwa wanaume[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mungu sio mnafki wakapangwa kwenye group gumu la mabingwa watupu kwenye nchi zao kila mmoja akasema yake hamtoboi mwisho wanaume wapo quarter final sasa Wimbo ni mmoja tu hamtoboi[emoji2369]wanasahau kuwa hata wao wamepewa giant mwingine sijui sisi mashabiki wa timu za kariakoo tunatatizo gani?

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
We kolo a.k.a ngada FC a.k.a mbumbumbu FC, utakufa mdomo wazi utupe tabu kukufumba..!! Haya itunze hii..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…