Natabiri Yanga kutolewa na Mamelodi kwa jumla ya Magoli 7-1

Maneno "HAPA NDIYO MWISHO WENU" waliyatamka kuanzia mwanzo hadi kwenye fainali..!!! Yaani maneno yao nayo yaliingia fainali..!!
 
Wanakosa vichaka vya kujifichiamo,aahaa
 
Kuna watu mnapenda sana kujidhalilisha.
Halafu badala ya kuzungumzia mechi yao, kutwa kuitaja Yanga. Ukiwaambia wahamie Yanga wanakuwa wakali. Yanga wakishinda utasikia bahasha, tiGo pesa, uchawi..!! Wanahaha hatari
 
Hua nnajiuliza swali sipati jibu
Hivi inakuaje mtu anaanzisha nyuzi za namna hi?
Mwisho mzikimbie wenyewe
Mkuu mpira ni dk 90!
 
Hua nnajiuliza swali sipati jibu
Hivi inakuaje mtu anaanzisha nyuzi za namna hi?
Mwisho mzikimbie wenyewe
Mkuu mpira ni dk 90!
Ndio mpira ni dakika 90 na Ndio maana nimeandika 'natabiri', inaweza ikawa kama nilivyotabiri au magoli yakapungua kidogo au kuongezeka kidogo. Watu wazima mnashindwa kuelewa neno 'natabiri' kisa tu utabiri upo against mnavyotaka. Eleweni neno 'natabiri' na sio dhambi kuitabiria yanga kuwa itafungwa hata wachambuzi pale DSTV huwa wanatabiri kabla ya mechi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…