Natabiri Yanga vs Mamelod kukosa watazamaji uwanja wa Mkapa

Natabiri Yanga vs Mamelod kukosa watazamaji uwanja wa Mkapa

Unakua mpumbavu..kwamba utopolo hamjazi uwanja halafu hapo.hapo mnajinasibu kushikilia rekodi ya kuingiza mashabiki wengi..hii akili matope...
Semeni.ukwel tu mashabik.wengi aina yako ambao ndio mko wengi ni WALALAHOI, MAKAPUKU, kelele na porojo mnaziweza kwenye vijiwe tena hapo mmekaa.juani hata hamjui kula yenu huku mnamtukana Clotus Chama anayepokea milioni 40 kwa mwezi kama mshahara huku mkimpapatikia Pakuma zuazua ambaye maskin ya Mungu hata elfu mbili hajawahi kuwapa, kununua jezi hamuwezi, kadi ya uwanachsma.hamna, yani ni USELESS FANS...
Ndugu mbumbu soka si mchezo wa matajiri na ndio maana ata wachezji wake wengi 80% ni tabaka la kati na maskini.
Ata mashabiki wa soka wengi ni tabaka la kati na maskini ndio asili ya mpira wa miguu.
Ndugu mbumbumbu Yanga ni timu ya wananchi tangu asili, kuwa na takwimu za kujaz mashabiki iwe dar/mikoani isi kufanye uwe na hasira ni jambo la kawaida na halija anza leo tangu miaka mingi nyuma.
Mimi nimeanza kuingia uwanjani si zamani sana lakini kiingilio kilikua shilingi tano geti la watoto kule taifa B. Kabla ya apo ilikua watoto bure.
Kuona watu wana zunguka nje ya uwanja na hawana fedha ya kuingia kwa apa kwetu haija anza leo, hali iyo ipo na itaendelea kuwepo kwakua mafukara hawataisha ila ndio mchezo wanao upenda.
 
Unakua mpumbavu..kwamba utopolo hamjazi uwanja halafu hapo.hapo mnajinasibu kushikilia rekodi ya kuingiza mashabiki wengi..hii akili matope...
Semeni.ukwel tu mashabik.wengi aina yako ambao ndio mko wengi ni WALALAHOI, MAKAPUKU, kelele na porojo mnaziweza kwenye vijiwe tena hapo mmekaa.juani hata hamjui kula yenu huku mnamtukana Clotus Chama anayepokea milioni 40 kwa mwezi kama mshahara huku mkimpapatikia Pakuma zuazua ambaye maskin ya Mungu hata elfu mbili hajawahi kuwapa, kununua jezi hamuwezi, kadi ya uwanachsma.hamna, yani ni USELESS FANS...
Una msongo wa mawazo kubali kataa ukweli ndio huo
 
wameshaanza kulalamika viingilio, wanataka mzungu iwe 1000 (buku)
 
Alafu wanasema uwanja wa watu 20,000 hauwatoshi Hersi alete uwanja wa watu 60,000 kama Mkapa
Angalia hapo
336F533B-A542-4E9C-AD1B-1B65BB7FD4C0.png
 
UKISHABIKIA SANA SIMBA NA YANGA AKILI ZA KICHWANI ZINAONDOKA. UNAANZA KUWA MPUMBAVU AUTOMATICALLY.

Vijana msipoteze muda na mambo ya usimba na uyanga.

Nimemaliza.
Sasa hapa boss na wewe ni shabiki kwa style yako. Maana kila uzi unapost hili suala. Ina maana muda wa kufuatilia upumbavu wa mashabiki unao.
 
Kama kawaida sisi mashabiki wa Yanga sio watu wa kwenda uwanjani ni wazuri wa kelele barabarani na kwenye vijiwe.

Wakati wenzetu Simba wakijaza uwanja kama kawaida yao sisi hatutajaza na tutakuja na visingizio kibao na lawama kwa uongozi.

Daima mbele nyuma mwiko.
Naomba utabiri mechi mbili za leo (correct score) ili nisiwe na shaka na utabiri wako
 
Ratio ya mashabiki wa simba ni kubwa kulinganisha na wa yanga.
Simba ndio timu yenye fans wengi zaidi,ndio maana suala la kujaza uwanja kwao ni rahisi sana
 
Ratio ya mashabiki wa simba ni kubwa kulinganisha na wa yanga.
Simba ndio timu yenye fans wengi zaidi,ndio maana suala la kujaza uwanja kwao ni rahisi sana
Yanga ina washabiki wengi kuliko Simba by far.
Mechi za Yanga viongozi huweka viingilio mara dufu ya viingilio vya Simba.
Wanachokosea uongozi huu wa yanga ni falsafa wanayoitumia kwenye gate collection.

Gate collection Azam Complex na viwanja vya mikoani average difference ni ndogo kwa hiyo ni rahisi sana kuona Yanga anamshinda Simba kwenye attendance za mikoani na Chamazi.

Ukija kwa mkapa, degree of dispersion ni kubwa maana unaweka 100,000/- VVIP na 10,000/- or more mzunguko. hapo unakuwa unazuia mashabiki wengi kuhudhuria with no or little change in collection. Simba huwa mzunguko ni 5000/- au hata 3,000/-.

VIP will always be full, na hapo ndiyo unapotengeneza fedha. Mzunguko has to be very cheap ili ujaze, na kujaza mzunguko ni faida kwenye motisha ya wachezaji na kuiuza team kwenye social media.

Nashauri mzunguko uwe 3,000/- siku ya Mamelodi. VIPs huwa inajaa regardless.
 
Uko sahihi kabisa. Inawezekana mechi mbili za Yanga na Mamelodi ndiyo zitakuwa na mahudhurio machache zaidi katika mzunguko wa robo fainali.
Wasipohudhuria, yanga wategemee mvua ya magoli. Mkono ni machache
 
Ratio ya mashabiki wa simba ni kubwa kulinganisha na wa yanga.
Simba ndio timu yenye fans wengi zaidi,ndio maana suala la kujaza uwanja kwao ni rahisi sana
Ratio ya mashabiki inapatikana vipi, bwashee? Au unajiandikia andikia tu
 
Ratio ya mashabiki inapatikana vipi, bwashee? Au unajiandikia andikia tu
Sijiandikii tu bwashee, nimetumia reference ya social media,simba inafollowers wengi kuliko yanga, hii inatosha kwa kiasi fulani kuthibitisha kwamba simba kwa upande wa fan base wapo vizuri kulinganisha na 🐸
 
Utabiri Mbovu Sana Huu Kwa Nyakati Zote Hapa Duniani...!!
Kama Umefunga Saum ya Ramadan ni Kheri Unywe Maji Tu...!!
Ni Haram Kutabiri Ujinga Kama Huu na Ukafumbiwa Macho....!!
Sisi Wananchi Tutajitokeza Kwa Wingi Kuisapoti Team Yetu Kama Ilivyotokea Kwa Al Ahly & CRB Msimu Huu Mnaleta Nyuzi za Hovyo Hovyo ila Hatutoki Relini
 
Sijiandikii tu bwashee, nimetumia reference ya social media,simba inafollowers wengi kuliko yanga, hii inatosha kwa kiasi fulani kuthibitisha kwamba simba kwa upande wa fan base wapo vizuri kulinganisha na [emoji196]
Followers sio mashabiki tumia akili mimi nme follow pages nyingi ambazo sio shabiki wa timu hizol
 
UKISHABIKIA SANA SIMBA NA YANGA AKILI ZA KICHWANI ZINAONDOKA. UNAANZA KUWA MPUMBAVU AUTOMATICALLY.

Vijana msipoteze muda na mambo ya usimba na uyanga.

Nimemaliza.
nakuunga mkono
mana kuna mambo wanaongea humu na mada zinaanzishwa mpaka najiuliza hawa watu wako sawa au
 
Followers sio mashabiki tumia akili mimi nme follow pages nyingi ambazo sio shabiki wa timu hizol
Acha ujinga mkuu,unadhani kwanini simba ina followers wengi kuliko yanga?
 
Back
Top Bottom