Ungekua na akili usinge uliza swali la kijinga hivyo! Nenda page ya timu yoyote angalia comments kama wote ni mashabiki wa hio timu alf uje na ujinga wako huoAcha ujinga mkuu,unadhani kwanini simba ina followers wengi kuliko yanga?
Huwa hawafuatilii rekodi za kila msimu wanakurupuka tu.Inawezekana Yanga wasi ujaze uwanja lakini kwa mujibu wa Tff, Yanga ndio klabu inayo shikiria rekodi ya kuingiza mashabiki wengi viwanjani wakati timu yao inacheza.
Tuwakumbushe tu na huu msimu Yanga hakuwa bingwa, sasa jiulize misimu aliyokuwa bingwa 2021/2022, 2022/2023. Na msimu huu ndiyo Simba hatafika hata nusu ya mashabiki wa Yanga maana waliisusa timu yao.Angalia hapoView attachment 2939809
Mbona mashabiki wa simba siku hizi mmekuwa na hasira sana?? Shida nnn[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unakua mpumbavu..kwamba utopolo hamjazi uwanja halafu hapo.hapo mnajinasibu kushikilia rekodi ya kuingiza mashabiki wengi..hii akili matope...
Semeni.ukwel tu mashabik.wengi aina yako ambao ndio mko wengi ni WALALAHOI, MAKAPUKU, kelele na porojo mnaziweza kwenye vijiwe tena hapo mmekaa.juani hata hamjui kula yenu huku mnamtukana Clotus Chama anayepokea milioni 40 kwa mwezi kama mshahara huku mkimpapatikia Pakuma zuazua ambaye maskin ya Mungu hata elfu mbili hajawahi kuwapa, kununua jezi hamuwezi, kadi ya uwanachsma.hamna, yani ni USELESS FANS...
Au ni kinyume chake. Mashabiki wengi wa Simba ni watu wa vijiweni tu hawana kazi maalum. Mashabiki wengi wa Yanga wana business zao hawana muda wa kwenda uwanjani. Usipende sana kujikweza bro.Unakua mpumbavu..kwamba utopolo hamjazi uwanja halafu hapo.hapo mnajinasibu kushikilia rekodi ya kuingiza mashabiki wengi..hii akili matope...
Semeni.ukwel tu mashabik.wengi aina yako ambao ndio mko wengi ni WALALAHOI, MAKAPUKU, kelele na porojo mnaziweza kwenye vijiwe tena hapo mmekaa.juani hata hamjui kula yenu huku mnamtukana Clotus Chama anayepokea milioni 40 kwa mwezi kama mshahara huku mkimpapatikia Pakuma zuazua ambaye maskin ya Mungu hata elfu mbili hajawahi kuwapa, kununua jezi hamuwezi, kadi ya uwanachsma.hamna, yani ni USELESS FANS...
MZUNGUKO BUREUpo Sawa, nakubaliana nawe Asilimia 100. Umetabiri Sawa Kbs....!
Labda Itokee GSM atoe ofa kwa Mashabiki awalipie Yeye Waingie Bure..!!
Bado tatizo la Wana Yanga kushindwa kujaza uwanja ni kizingumkuti...!
Wamefanya BUREEEEEEEEAcha uchawi
Hatimae huu ushauri umefanyiwa kazi.Upo Sawa, nakubaliana nawe Asilimia 100. Umetabiri Sawa Kbs....!
Labda Itokee GSM atoe ofa kwa Mashabiki awalipie Yeye Waingie Bure..!!
Bado tatizo la Wana Yanga kushindwa kujaza uwanja ni kizingumkuti...!
Na huu utabiri wako usipotimia, tukufanye nini?Kama kawaida sisi mashabiki wa Yanga sio watu wa kwenda uwanjani ni wazuri wa kelele barabarani na kwenye vijiwe.
Wakati wenzetu Simba wakijaza uwanja kama kawaida yao sisi hatutajaza na tutakuja na visingizio kibao na lawama kwa uongozi.
Daima mbele nyuma mwiko.