Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu naona kuna mahali umeuliza kosa lako nini.....kosa lako ni moja tu mkuu HAKUPENDI hilo ndo kosa lako kubwa sanaaaaHabari wanaJF, nitajitaidi kufupisha japo mambo ni mengi sana.
Mwaka jana mwezi wa saba nilifanikiwa kupata mtoto mmoja wa kule milimani akiwa sehemu yake ya kazi akiwa na jiko sehemu flani beach kwa upande wa juu,kiukweli yule binti nirembo sana na yuko very smart and manipulator mzuri sana, mapenzi yalianza kwa mbwebwe mpaka nyumba kwetu na kwao plus mtoto wake na mzazi wake kunijua mambo yalianza kubadilika kidogo kidogo mara ataki Twende wote sehemu mara mawasiliano anachoka sana mpaka awe free by that time nimeshazama mazima, alinichezea mind game moja hatari kuniaminisha she is very innocent na hofu ya Mungu basi nikalibeba ilo lakini chini ya kapeti nasikia story za mtaani kuna jamaa mmoja wa beach flani naye anapiga na wanaonekana nikiuliza nakatiliwa so nikasema sio kesi maisha yaendelee.
This year January akiwa kwao uko milimani siku ya new year nikapewa block moja ya watsap na call nikarudiwa na sababu ya kuwa kuna msiba kwao hakuwa sawa lakini cha ajabu hakujua natumia simu nyingine kuview status zake akiwa anajiachia mahotelini and so ikaenda nikablockiwa tena this time nikaambiwa simu imekufa tukawa tunawasiliana kwa simu yake nyingine up to date, kuna ahadi nilimpa kwa kweli imekuwa kama fimbo na imeonyesha yuko interest ya iyo ahadi kuliko ata mimi muhusika nilichofanya nikawa natoa kidogo kidogo, inafika mda iyo simu nyingine nayo inazimwa pia kwaiyo imekuwa vurugu kabsa ndani ya moyo.Mda wote huu mimi ndio nilikuwa na sponsor kila kitu mtaji, pocket money, hela ya kula nyumbani, kodi ata ada ya mtoto na vitu vinge vidogo vidogo.
Maswali ninayo mengi sana kichwani kosa langu liko wapi na mbona hakuwa muwazi toka mwanzo nipite nisepe zangu i dedicated my self kwenye hayo mahusiano kujua nimepata mke bora kabsa nimejikuta nimeingia kwenye madeni yasio na misingi yote kujaribu kumridhisha.Sio kwamba nimekosa mwanamke wakunipenda au sina muonekano ila nimeamua kutulia naye tuanze maisha kwa kweli haya mambo yasikieni kwa mwenzako nimepoteza kilo za kutosha nimejikuta nimetumia zaidi ya 10M ndani ya miezi 6.Nimegombana na washkaji na ndugu sababu yake nikiamini hawamjui vzuri lakn makucha yake nimekuja kuona mwisho.
Wanajf naombeni mnipe muongozo kwenu nimeingiwa na chuki sana sijawai mfanyia mtu baya lakini this time am ready ata kuroga,kama mtu akuwa na huruma na utu juu yako unakuwa kuwaje na huruma kwake,nimejikuta natafakari mengi sana labda ndio tabia yake kucheza na hisia za watu nakuamia kwa mwingine kwa sababu kwa sasa nimemwambia sina kitu ameamua kukaa kimya na simu inazimwa mda mwingine, kuna mtu kaingia mkenge tena nadhani sasa huyu kawa janga la taifa inaweza mkuta mdogo wako au ndugu yako tusitumie jazba wala matusi,i admit she caught me off guard kabisa with the ability she as ni tatizo.
Daaah mwanangu unakosea sana usirudie tena huu upuuzi ndugu yangu kumpenda sana mwanamke na kujitoa aimaanish ndo anakupenda sana jifunze kufanya vitu kwa kiasiBrother 10M+ sio masihara kwa week nilikuwa na tuma 50k at least mara 4 au 3 bado plus ada, vitu vyakula ndani, mtaji,furnitures plus vingi na vingi but in all yani vyote ivo hajaviona yani kweli wanawake ni watu wa ajabu sana kuna mda nilimkodishia gari miezi mitatu nalipa, siku anashida ya hela ya kula nilibidi niweke bond simu kwa masaa machache ili nitume hela ya kununua vitu leo unaniambia nisimfanye kitu kweli?
1. Mwanamke yeyote ambaye shida ndiyo iliyomleta kwako, huyo usimuamini kuwa ni wako milele, kaa nae chonjo.Nakubaliana na wewe kabsa sema niko kwenye kipindi kigumu sana cha kujiuliza kosa liko wapi au hawa viumbe ndio walivo hivi au nimekosea chaguo.
Well said brother.Binadamu huwa anafundishwa zaidi pale yanapomkuta,, so amini kuanzia leo utakuwa mwalimu mzuri sana kwenye huu ulingo wa malavidavi
@Mzigua90 i miss u mama,where have you been ?Mpotezee tu huna haja ya kumfanyia jambo baya.
Ulitoa kwa mapenzi so chukulia ulivyovitoa kama ulitoa sadaka
Kitakachoponya moyo wako ni kuvunja uhusiano na ukaribu na yeye.Habari wanaJF, nitajitaidi kufupisha japo mambo ni mengi sana.
Mwaka jana mwezi wa saba nilifanikiwa kupata mtoto mmoja wa kule milimani akiwa sehemu yake ya kazi akiwa na jiko sehemu flani beach kwa upande wa juu,kiukweli yule binti nirembo sana na yuko very smart and manipulator mzuri sana, mapenzi yalianza kwa mbwebwe mpaka nyumba kwetu na kwao plus mtoto wake na mzazi wake kunijua mambo yalianza kubadilika kidogo kidogo mara ataki Twende wote sehemu mara mawasiliano anachoka sana mpaka awe free by that time nimeshazama mazima, alinichezea mind game moja hatari kuniaminisha she is very innocent na hofu ya Mungu basi nikalibeba ilo lakini chini ya kapeti nasikia story za mtaani kuna jamaa mmoja wa beach flani naye anapiga na wanaonekana nikiuliza nakatiliwa so nikasema sio kesi maisha yaendelee.
This year January akiwa kwao uko milimani siku ya new year nikapewa block moja ya watsap na call nikarudiwa na sababu ya kuwa kuna msiba kwao hakuwa sawa lakini cha ajabu hakujua natumia simu nyingine kuview status zake akiwa anajiachia mahotelini and so ikaenda nikablockiwa tena this time nikaambiwa simu imekufa tukawa tunawasiliana kwa simu yake nyingine up to date, kuna ahadi nilimpa kwa kweli imekuwa kama fimbo na imeonyesha yuko interest ya iyo ahadi kuliko ata mimi muhusika nilichofanya nikawa natoa kidogo kidogo, inafika mda iyo simu nyingine nayo inazimwa pia kwaiyo imekuwa vurugu kabsa ndani ya moyo.Mda wote huu mimi ndio nilikuwa na sponsor kila kitu mtaji, pocket money, hela ya kula nyumbani, kodi ata ada ya mtoto na vitu vinge vidogo vidogo.
Maswali ninayo mengi sana kichwani kosa langu liko wapi na mbona hakuwa muwazi toka mwanzo nipite nisepe zangu i dedicated my self kwenye hayo mahusiano kujua nimepata mke bora kabsa nimejikuta nimeingia kwenye madeni yasio na misingi yote kujaribu kumridhisha.Sio kwamba nimekosa mwanamke wakunipenda au sina muonekano ila nimeamua kutulia naye tuanze maisha kwa kweli haya mambo yasikieni kwa mwenzako nimepoteza kilo za kutosha nimejikuta nimetumia zaidi ya 10M ndani ya miezi 6.Nimegombana na washkaji na ndugu sababu yake nikiamini hawamjui vzuri lakn makucha yake nimekuja kuona mwisho.
Wanajf naombeni mnipe muongozo kwenu nimeingiwa na chuki sana sijawai mfanyia mtu baya lakini this time am ready ata kuroga,kama mtu akuwa na huruma na utu juu yako unakuwa kuwaje na huruma kwake,nimejikuta natafakari mengi sana labda ndio tabia yake kucheza na hisia za watu nakuamia kwa mwingine kwa sababu kwa sasa nimemwambia sina kitu ameamua kukaa kimya na simu inazimwa mda mwingine, kuna mtu kaingia mkenge tena nadhani sasa huyu kawa janga la taifa inaweza mkuta mdogo wako au ndugu yako tusitumie jazba wala matusi,i admit she caught me off guard kabisa with the ability she as ni tatizo.
We cheka2Nalia nacheka
Nipo dear@Mzigua90 i miss u mama,where have you been ?
Uliwekwa kinyumba nin mbona uliadimika sana humu jamvin dear?Nipo dear
Nimeshafanya hayp maamuzi na nimemweleza kuwa alichofanya kunitumia sio ubinadamu angesema shida yake kwangu kulikp kupotezeana mda na resources,kwa jinsi alivo mjeuri akulijibu ilo so i wished her the best in life lakini atanikumbuka siku na ata kutana na mtu aliyejitoa kama mimi kwake atachezea D. U. D. U kwenda mbele tu.Kitakachoponya moyo wako ni kuvunja uhusiano na ukaribu na yeye.
Kwa sasa una migogoro miwili, wewe na nafsi yako, wewe na yeye yaani unajutia upendo wako kwake halafu unamchuki kwanini ulimpenda na kufanya yote kwaajili yake kitu ambacho si kosa...
Katika hali yako usifikirie kufanya kisasi bali angalia unawezaje kuponya nafsi yako, move on and break soul ties ili siku huyo binti akili ikimkaa sawa na akajirudi kwako, wewe uwe imara kumkataa...
Aisee!Habari wanaJF, nitajitaidi kufupisha japo mambo ni mengi sana.
Mwaka jana mwezi wa saba nilifanikiwa kupata mtoto mmoja wa kule milimani akiwa sehemu yake ya kazi akiwa na jiko sehemu flani beach kwa upande wa juu,kiukweli yule binti nirembo sana na yuko very smart and manipulator mzuri sana, mapenzi yalianza kwa mbwebwe mpaka nyumba kwetu na kwao plus mtoto wake na mzazi wake kunijua mambo yalianza kubadilika kidogo kidogo mara ataki Twende wote sehemu mara mawasiliano anachoka sana mpaka awe free by that time nimeshazama mazima, alinichezea mind game moja hatari kuniaminisha she is very innocent na hofu ya Mungu basi nikalibeba ilo lakini chini ya kapeti nasikia story za mtaani kuna jamaa mmoja wa beach flani naye anapiga na wanaonekana nikiuliza nakatiliwa so nikasema sio kesi maisha yaendelee.
This year January akiwa kwao uko milimani siku ya new year nikapewa block moja ya watsap na call nikarudiwa na sababu ya kuwa kuna msiba kwao hakuwa sawa lakini cha ajabu hakujua natumia simu nyingine kuview status zake akiwa anajiachia mahotelini and so ikaenda nikablockiwa tena this time nikaambiwa simu imekufa tukawa tunawasiliana kwa simu yake nyingine up to date, kuna ahadi nilimpa kwa kweli imekuwa kama fimbo na imeonyesha yuko interest ya iyo ahadi kuliko ata mimi muhusika nilichofanya nikawa natoa kidogo kidogo, inafika mda iyo simu nyingine nayo inazimwa pia kwaiyo imekuwa vurugu kabsa ndani ya moyo.Mda wote huu mimi ndio nilikuwa na sponsor kila kitu mtaji, pocket money, hela ya kula nyumbani, kodi ata ada ya mtoto na vitu vinge vidogo vidogo.
Maswali ninayo mengi sana kichwani kosa langu liko wapi na mbona hakuwa muwazi toka mwanzo nipite nisepe zangu i dedicated my self kwenye hayo mahusiano kujua nimepata mke bora kabsa nimejikuta nimeingia kwenye madeni yasio na misingi yote kujaribu kumridhisha.Sio kwamba nimekosa mwanamke wakunipenda au sina muonekano ila nimeamua kutulia naye tuanze maisha kwa kweli haya mambo yasikieni kwa mwenzako nimepoteza kilo za kutosha nimejikuta nimetumia zaidi ya 10M ndani ya miezi 6.Nimegombana na washkaji na ndugu sababu yake nikiamini hawamjui vzuri lakn makucha yake nimekuja kuona mwisho.
Wanajf naombeni mnipe muongozo kwenu nimeingiwa na chuki sana sijawai mfanyia mtu baya lakini this time am ready ata kuroga,kama mtu akuwa na huruma na utu juu yako unakuwa kuwaje na huruma kwake,nimejikuta natafakari mengi sana labda ndio tabia yake kucheza na hisia za watu nakuamia kwa mwingine kwa sababu kwa sasa nimemwambia sina kitu ameamua kukaa kimya na simu inazimwa mda mwingine, kuna mtu kaingia mkenge tena nadhani sasa huyu kawa janga la taifa inaweza mkuta mdogo wako au ndugu yako tusitumie jazba wala matusi,i admit she caught me off guard kabisa with the ability she as ni tatizo.
Unafikiri mtu akiamua kukufanyia mambo yake unakuwa na kosa?Nakubaliana na wewe kabsa sema niko kwenye kipindi kigumu sana cha kujiuliza kosa liko wapi au hawa viumbe ndio walivo hivi au nimekosea chaguo.
Samehe tu !Brother i have tried lakini the fact nikifikiria nimetumika all this time linanipa hasira kali sana.
Bora ukae mwenyewe jipe muda,Nalo ni jambo jema kwangu kulifata.
Well said brother, kama unavosema. I hope she gets what she deserves. Sema hawa watu ni hatari sanaYou may be looking on the same direction, yet differ on what you see.
Wewe unaona mapenzi kati yenu. Ila yeye anaona fursa. Hapo ni maji na mafuta broh.