Natafata mume, mwenye sifa hizi

Mimi ni Binti mwenye umri wa miaka 30, Natafata mme, Sibagui umri Wala kabila, Karibuni Kwa mwenye kuhitaji mke aliyekamilika na anayempenda Mungu.

Atakaewahi atapewa kipaumbele

Tukutane PM
DΓ­ni hujasema hapo unataka wa dini gani? Hicho ni kipengele muhimu sana kwa watu waliopokea tu dini lakini wanajiona kama wajomba mtume au ukoo wa Daud.
 
Wakati toka ndani ya moyo wangu kabisa nakuombea upate hitaji la moyo wako ila ndani zaidi kabisa ya moyo wangu nakusikitikia umeleta ombi kipindi kigumu sana cha kina afande naniii, yule mtajwa wa Sativa.

Haya maombi ya hivi sasa hivi yanaangaliwa in 3D haswa!

Potential waume wamekuwa waogaaaaaaaaaaa
 
Dada hongera kwa ujasiri wa kumtafuta mwenye ubavu wake uliouihifadhi. Mwenyezi Mungu akutimizie hitaji la moyo wako.πŸ™
Upweke ni mateso
Ndoa ni baraka na neema kutoka kwa Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…