joseph_mbeya
JF-Expert Member
- Nov 20, 2023
- 1,123
- 2,935
emotional damageHapana mkuu binafsi nilitaka kujua bila kujua itaathiri vip hisia zake samahani zake asee🥲
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
emotional damageHapana mkuu binafsi nilitaka kujua bila kujua itaathiri vip hisia zake samahani zake asee🥲
Nooo! Kwa uzuri tu, kuwa single ndio mbaya kuliko kuwa na mtu wakukuliwazaUnataka umchezee tu huyu binti😅
Pole yake asee ndivyo mambo ya mitandao yalivyo ,ila natumaini atampata mume wake humu💪emotional damage
🤣🤣🤣Kumbe una mdomo 🤗🙌Hivi kumbe miaka 30 ni binti?
Ahahahahahaaa..!!! Wengine wanajionaga wanaishi Galilaya huku jirani yao ni Yesu.Díni hujasema hapo unataka wa dini gani? Hicho ni kipengele muhimu sana kwa watu waliopokea tu dini lakini wanajiona kama wajomba mtume au ukoo wa Daud.
😁😁Hapana ninakula kwa pua.😅🤣🤣🤣Kumbe una mdomo 🤗🙌
🙌😁😁Hapana ninakula kwa pua.😅
Sio kweli, ndoa ni utapeli ulioletwa na kanisa.Ndoa ni baraka na neema kutoka kwa Mungu
Nikifika huo umri bado nitajiita binti
vigezo ni wakiwa below 25, hapo kwa 30 and abavu, kikubwa pumzi, mengine atavumilia.Anataka anaye pumua tu
Ila kwa wazazi wake ni binti bado😁
Kumbe wewe bado kabichi kabisa😊Nikifika huo umri bado nitajiita binti
😀 😀 😀 😀 😀...!! Mweee mweeee mweeeeeee... !! Imbombo ngafu nkhamhu..!!Nikifika huo umri bado nitajiita binti
Na mtaani mkuu🤣🤣🤣🥴Ila kwa wazazi wake ni binti bado😁
Bado siku moja kufikia🤗Kumbe wewe bado kabichi kabisa😊
Sasa huyo aliyejitambulisha kwamba yeye ni binti, hajajitambulisha hivyo kwa wazazi wake..!!! Amejitambulisha kwa MAANKALIII..!!!Ila kwa wazazi wake ni binti bado😁