MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Mimi ni kijana mdogo wa miaka 38 na mwanachama wa CCM. Bila kushawishiwa wala kulazimishwa nimeamua kujitolea kuwa mumeo endapo una kadi hai ya CCM na cheti cha kidato cha nne chenye B ya Physics.Mimi ni Binti mwenye umri wa miaka 30, Natafata mme, Sibagui umri Wala kabila, Karibuni Kwa mwenye kuhitaji mke aliyekamilika na anayempenda Mungu.
Atakaewahi atapewa kipaumbele
Tukutane PM
Nmeuliza nijue tuVunga
ila watu😂😂🙌🏾Mimi ni kijana mdogo wa miaka 38 na mwanachama wa CCM. Bila kushawishiwa wala kulazimishwa nimeamua kujitolea kuwa mumeo endapo una kadi hai ya CCM na cheti cha kidato cha nne chenye B ya Physics.
tunajua unajua ila uchokoz tuNmeuliza nijue tu
Vungaila watu😂😂🙌🏾
to be honest this one is the savage comment😅Hivi kumbe miaka 30 ni binti?
Ila anaweza akawa binti kama atajipatia mwamba mwenye miaka kwanzia 50 na kuendelea 🤔Mwanamke aisee 😄😄😄
Why not? hata awe na umri gani ni binti wa mtu ila siyo msichana.Hivi kumbe miaka 30 ni binti?
Kwani mwanamke siyo binti?Mwanamke aisee 😄😄😄
Hapana mkuu binafsi nilitaka kujua bila kujua itaathiri vip hisia zake samahani zake asee🥲to be honest this one is the savage comment😅
Kweli kabisaWhy not? hata awe na umri gani ni binti wa mtu ila siyo msichana.
Anataka anaye pumua tuMbona hujaweka vigezo vya unaemhitaji sasa na hujaweka vigezo vyako
Mimi niko tayari, nimechoka na upweke, karibu tujaze upendo..Mimi ni Binti mwenye umri wa miaka 30, Natafata mme, Sibagui umri Wala kabila, Karibuni Kwa mwenye kuhitaji mke aliyekamilika na anayempenda Mungu.
Atakaewahi atapewa kipaumbele
Tukutane PM
Unataka umchezee tu huyu binti😅Wakati unamsubiri huyo mume mimi niko tayari kukuliwaza kipindi hiki cha mpito,je huko tayari?