Achana na Watanzania wasio fikili,, mimi si mteja Sasa ila ngoja niseme hadharani hapa,
Baada ya kudondoka kwa Alexander the great, karne ya 1 roman empire walichoma maktaba ya kale pale misri, ya maandishi ambayo yalikuwa na lugha mbili mesopotamia na ancient Egypt, zingine nyingi wazilibeba wakaenda kutafsri kwa Latin, maandiko hayo ndio yame zaa hao mnawaita freemason, Christian na dini za ajabu ajabu tu, na Leo watu ni wajinga nazo ,,, hiyo ni nguvu ya lugha,, maandiko hayo pia Yana Physics na Mathematics za kale
Kwa hiyo kutafsri kiingereza kuwa kiswahili ni dili kubwa sana ,, hata watoto wa Hawa wanao kupinga hapa watakuja kutafuta elimu za kale,
Ingia Google chrome download Tor browser, ukisha I download, tengeneza email ingine,, iyo email tumia kujisajili hapa,,,
http://zlibrary24tuxziyiyfr7zd46ytefdqbqd2axkmxm4o5374ptpc52fad.onion
Hii link haipo kwenye normal internet Hadi dark web ambayo kuifikia tunatumia Tor browser
Maana maktaba hii haina vitabu vya kiswahili ni kiingereza na lugha zingine, chukua vitabu vyenye elimu za maana tafsri Hawa Hawa , watoto,na wajuu kuu watanunua hata kama sio Leo, ukipata ugumu nitafute nikuelekeze zaidi, hoja hii 0682329852