Natafsiri vitabu kutoka lugha ya kiingereza kwenda kiswahili bei 5000 Tsh kitabu kimoja

Akili za Waswahili, kwamba chatgpt anazidi utashi wa mtu??,
Sawa haizidi lakini mtu kama wewe huna uwezo wa kuizidi chatgpt, hasa kwenye masuala ya lugha , taarifa na ufafanuzi wa mambo mbalimbali we ukiwa na uwezo mkubwa utaishia kiwa expert kwenye kitu kimoja tu ila Chatgpt inatoa muongozo kwenye mambo mengi zaidi.
 
Kama ni mtu mwambie akuwekee pesa benk au kwenye mpesa
 
Kwa nini mtu atafsiriwe kitabu kutoka kiingereza kwenda kiswahili?Huo ni uzembe wa kutotaka kujifunza mambo.
 
Tanzania yetu, Wengine wanajua kusoma na kuandika tu, Kiswahili hapo inakuwaje sasa,

Kwa sababu wewe unaweza ndio wote wanaweza?? Huu ni unyanyasaji na kujiona Bora kuliko Wengine
 
Wajifunze kwa njia ngumu.Hawanyanyaswi.Tukijidekeza na kutaka kuahisishiwa mambo tutabaki kuwa mazuzu.
 
Hapana, sio kwa ubaya, ila mawazo kama yako ndio mpaka Leo watu wamefaulu Physics vizuri kwa kiingereza lakini, hawawezi hata kutengeneza simple logical processor, ila wenye lugha zao wanafanya hivyo, kama umewahi ona makabila ambayo yanaskia kiswahili lakini ili waelewe lazima uongee lugha yao
 
Hicho si kigezo wala sababu ya kushindwa kufanya vitu kwa vitendo.Ni ujinga wa hao wanafunzi.
 
Kwahiyo, ni wajinga??? Sawa ila Mimi siamini hivyo. Wajinga wapo ila sio wote,

Kuna lugha , kuelewa na kuelewa Hadi kufanya imagination, lugha mama ni lahisi kuelewa kwa picha tofauti na lugha za kigeni, au labda nawaza tofauti
 
Lugha imesomwa kuanzia darasa la tatu (kwa shule zetu wa hali ya chini)hadi vyuoni halafu mtu ashindwe kuijua?Huo ni zaidi ya udumavu wa akili na mwili.
 
Hahahaha 🤣 🤣 🤣 🤣, nime elewa, kwahiyo huyu ASI tafsri??? , Mimi maarifa mengi nimepata kwenye vitabu vya lugha ya kigeni, ndio maana naunga mkono hoja yake, sio wote wanaweza elewa computer science kwa kiingereza na wakawa kama Mimi hapa, ila wapo wanae taka kujua zaidi ya hata Elon musk tatizo lugha
 
Back
Top Bottom