Sawa haizidi lakini mtu kama wewe huna uwezo wa kuizidi chatgpt, hasa kwenye masuala ya lugha , taarifa na ufafanuzi wa mambo mbalimbali we ukiwa na uwezo mkubwa utaishia kiwa expert kwenye kitu kimoja tu ila Chatgpt inatoa muongozo kwenye mambo mengi zaidi.Akili za Waswahili, kwamba chatgpt anazidi utashi wa mtu??,
It works beyond human ability but sio mtu, mtu ni mtu na AI ni AI, miaka 10000000000Sawa haizidi lakini nakuuliza wewe una uwezo kuliko chatgpt?
Kama ni mtu mwambie akuwekee pesa benk au kwenye mpesaSawa haizidi lakini mtu kama wewe huna uwezo wa kuizidi chatgpt, hasa kwenye masuala ya lugha , taarifa na ufafanuzi wa mambo mbalimbali we ukiwa na uwezo mkubwa utaishia kiwa expert kwenye kitu kimoja tu ila Chatgpt inatoa muongozo kwenye mambo mengi zaidi.
Kumbe huna akili? Unapenda pesa za kupewa sana? Fanya kazi hamna pesa ya bure Utaliwa boya weweKama ni mtu mwambie akuwekee pesa benk au kwenye mpesa
SawaKumbe huna akili? Unapenda pesa za kupewa sana? Fanya kazi hamna pesa ya bure Utaliwa boya wewe
Chuki ya Nini nduguKumbe huna akili? Unapenda pesa za kupewa sana? Fanya kazi hamna pesa ya bure Utaliwa boya wewe
Tanzania yetu, Wengine wanajua kusoma na kuandika tu, Kiswahili hapo inakuwaje sasa,Kwa nini mtu atafsiriwe kitabu kutoka kiingereza kwenda kiswahili?Huo ni uzembe wa kutotaka kujifunza mambo.
Wajifunze kwa njia ngumu.Hawanyanyaswi.Tukijidekeza na kutaka kuahisishiwa mambo tutabaki kuwa mazuzu.Tanzania yetu, Wengine wanajua kusoma na kuandika tu, Kiswahili hapo inakuwaje sasa,
Kwa sababu wewe unaweza ndio wote wanaweza?? Huu ni unyanyasaji na kujiona Bora kuliko Wengine
Hapana, sio kwa ubaya, ila mawazo kama yako ndio mpaka Leo watu wamefaulu Physics vizuri kwa kiingereza lakini, hawawezi hata kutengeneza simple logical processor, ila wenye lugha zao wanafanya hivyo, kama umewahi ona makabila ambayo yanaskia kiswahili lakini ili waelewe lazima uongee lugha yaoWajifunze kwa njia ngumu.Hawanyanyaswi.Tukijidekeza na kutaka kuahisishiwa mambo tutabaki kuwa mazuzu.
Hicho si kigezo wala sababu ya kushindwa kufanya vitu kwa vitendo.Ni ujinga wa hao wanafunzi.Hapana, sio kwa ubaya, ila mawazo kama yako ndio mpaka Leo watu wamefaulu Physics vizuri kwa kiingereza lakini, hawawezi hata kutengeneza simple logical processor, ila wenye lugha zao wanafanya hivyo, kama umewahi ona makabila ambayo yanaskia kiswahili lakini ili waelewe lazima uongee lugha yao
Kwahiyo, ni wajinga??? Sawa ila Mimi siamini hivyo. Wajinga wapo ila sio wote,Hicho si kigezo wala sababu ya kushindwa kufanya vitu kwa vitendo.Ni ujinga wa hao wanafunzi.
Lugha imesomwa kuanzia darasa la tatu (kwa shule zetu wa hali ya chini)hadi vyuoni halafu mtu ashindwe kuijua?Huo ni zaidi ya udumavu wa akili na mwili.Kwahiyo, ni wajinga??? Sawa ila Mimi siamini hivyo. Wajinga wapo ila sio wote,
Kuna lugha , kuelewa na kuelewa Hadi kufanya imagination, lugha mama ni lahisi kuelewa kwa picha tofauti na lugha za kigeni, au labda nawaza tofauti
Hahahaha 🤣 🤣 🤣 🤣, nime elewa, kwahiyo huyu ASI tafsri??? , Mimi maarifa mengi nimepata kwenye vitabu vya lugha ya kigeni, ndio maana naunga mkono hoja yake, sio wote wanaweza elewa computer science kwa kiingereza na wakawa kama Mimi hapa, ila wapo wanae taka kujua zaidi ya hata Elon musk tatizo lughaLugha imesomwa kuanzia darasa la tatu (kwa shule zetu wa hali ya chini)hadi vyuoni halafu mtu ashindwe kuijua?Huo ni zaidi ya udumavu wa akili na mwili.
Achana na chatgpt, ile kitu hasa ukilipia ni habari nyingine.Akili za Waswahili, kwamba chatgpt anazidi utashi wa mtu??,
Chatgpt for LifeAchana na chatgpt, ile kitu hasa ukilipia ni habari nyingine.
Bila mfano ukweli ungetoka wapiNatafsiri vitabu kutoka lugha ya kiingereza kwenda kiswahili bei 5000 Tsh kitabu kimoja, kitabu natuma WhatsApp au kwa email Nicheki 0756704145