Natafta Kazi ya kuajiriwa

Natafta Kazi ya kuajiriwa

Yuroo yust

Member
Joined
May 14, 2017
Posts
20
Reaction score
33
niamatumian yangu wote wazima nami namshukuru MUNGU kwa yote

ndugu zangu kwa majina naitwa yusuph wambura. napatikana dar
kilicho nisukuma mimi mpaka kufikia hatua ya kuvunja ukimya wangu n matatizo yalionipata mimi na kuamua ni kheri nitumie njia hii kuwafikia watu pengine naweza nikapata msaada

mimi natafta kazi ya kuajiriwa
kikubwa iwe kaz inayo ruhusiwa katika jamii
kwa upande wa elimu sikufanikiwa kumaliza kidato cha nne kutoka na sabab za kifamilia.
kwaio ndugu zanguni naomba tujuzane nipo tayari
ata iwe mbali ntauuza nilicho nacho nifike kikubwa nifanye kaz asanteni
kwa mawasiliano
+255755458754
whatsup
kwa mawasiliano kawaida natumia halotel
+255616872024
 
Attachments

  • 20250104_140604.jpg
    20250104_140604.jpg
    301.1 KB · Views: 1
niamatumian yangu wote wazima nami namshukuru MUNGU kwa yote

ndugu zangu kwa majina naitwa yusuph wambura. napatikana dar
kilicho nisukuma mimi mpaka kufikia hatua ya kuvunja ukimya wangu n matatizo yalionipata mimi na kuamua ni kheri nitumie njia hii kuwafikia watu pengine naweza nikapata msaada

mimi natafta kazi ya kuajiriwa
kikubwa iwe kaz inayo ruhusiwa katika jamii
kwa upande wa elimu sikufanikiwa kumaliza kidato cha nne kutoka na sabab za kifamilia.
kwaio ndugu zanguni naomba tujuzane nipo tayari
ata iwe mbali ntauuza nilicho nacho nifike kikubwa nifanye kaz asanteni
kwa mawasiliano
+255755458754
whatsup
kwa mawasiliano kawaida natumia halotel
+255616872024
Kuna watu wema sana humu watakusaidia na utafanikiwa.
 
Upo sahihi kabisa
 
Niliona X kuna jamaa aliomba kazi kama hivi jamaa aka Reply unaweza kubeba screen inch52 kwenye giza na kukimbia nayo ?Jamaa aliyekuwa ana tafuta kazi akajibu naweza mkuu hata jana nimefanikiwa kukimbia na tenga la samaki buguruni saa7 usiku....Nilicheka sana
Mpe kazi za mkulima mkuu, huwezi jua anapitia yepi
 
Niliona X kuna jamaa aliomba kazi kama hivi jamaa aka Reply unaweza kubeba screen inch52 kwenye giza na kukimbia nayo ?Jamaa aliyekuwa ana tafuta kazi akajibu naweza mkuu hata jana nimefanikiwa kukimbia na tenga la samaki buguruni saa7 usiku....Nilicheka sana
unajua mtu anapo andika kitu kwenye halaiki ya watu inamanisha anahitaj msaad na pia pengine kafika mwisho wa fikira zake kwaio ni vyema mtu utumie tu busura kumjib mtu kitu kama huwezi n vizur pia kusoma na ukakaa kimya
 
Mkuu kwa nature ya mazingira ya huku sidhani kama anaweza kutoboa huwa nalipa 200-300k kwa mwezi lakini mkuu hapana nisimdanganye kijana mwenzangu kazi zetu ni ngumu .
mie naimani hakuna alie zaliwa kuja kufanya kazi rahisi na wengine waje kufanya kazi ngumu n maisha tu hutokea na humlazim mtu kufanya kaz yoyote mie kama ipo niambie nijue nafanyaje
 
Mdogo wangu tiyari nimeshafanya malipo kwa ajiri ya wafanyakazi huwa natoa kigoma hivyo natarijia jtatu niwapokee wapo3 Mara zote huwa natumia hao au watu wa huku huku geita.
 
niamatumian yangu wote wazima nami namshukuru MUNGU kwa yote

ndugu zangu kwa majina naitwa yusuph wambura. napatikana dar
kilicho nisukuma mimi mpaka kufikia hatua ya kuvunja ukimya wangu n matatizo yalionipata mimi na kuamua ni kheri nitumie njia hii kuwafikia watu pengine naweza nikapata msaada

mimi natafta kazi ya kuajiriwa
kikubwa iwe kaz inayo ruhusiwa katika jamii
kwa upande wa elimu sikufanikiwa kumaliza kidato cha nne kutoka na sabab za kifamilia.
kwaio ndugu zanguni naomba tujuzane nipo tayari
ata iwe mbali ntauuza nilicho nacho nifike kikubwa nifanye kaz asanteni
kwa mawasiliano
+255755458754
whatsup
kwa mawasiliano kawaida natumia halotel
+255616872024
Ukiwa desperate wa kupata ajira kila kazi unakua tayari kuifanya ila ukweli ni kwamba kuna kazi ngumu ambazo kulingana na mazingira ulio kulia huziwezi, mfano mimi nikiwa nje kuna kazi za kupakia tiles kwenye container ya 40ft nilitema mzigo hapo hapo, mimi naturally kazi za kutumia nguvu nyingi akili kdgo (Labour intensive) siziwezi, ntakufa na njaa, bora kijana utowe mfuano wakazi unazo pendelea kwanza, ili tujitathimini jinsi ya kukusaidia.
 
Back
Top Bottom