kopites
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 9,229
- 11,531
Wakifika huo umri tayari wanaanza kuonekana mashangaziKama utani hivi lkn just imagine mtoto aliyezaliwa nikiwa form three najikuta nampigia sound nikijuwa atakuwa na 27 kumbe ndo kwanza ana 19.
Wanachoka mapema sana hawa viumbe