Natafta malkia wa ngome yangu

Natafta malkia wa ngome yangu

Kama utani hivi lkn just imagine mtoto aliyezaliwa nikiwa form three najikuta nampigia sound nikijuwa atakuwa na 27 kumbe ndo kwanza ana 19.
Wakifika huo umri tayari wanaanza kuonekana mashangazi

Wanachoka mapema sana hawa viumbe
 
Kwa sifa zako Ilikuwa nikuunganishie chuma kimoja matata sana, mwajiriwa hapa Dar ila nimeona DINI zinakinzana hivyo hs

Kwa sifa zako Ilikuwa nikuunganishie chuma kimoja matata sana, mwajiriwa hapa Dar ila nimeona DINI zinakinzana hivyo haitafaa
dah hapo haitowezekana maana mm mkristo na hatuwezi kubeza issue ya dini, ina umuhimu mno
 
mambo vipi waungwana,
jamani mimi ni mwamba hapa 32 toka niwepo hapa duniani, napatikana pande za dar, mwajiriwa kwenye kampuni kubwa tu si haba kubadili mboga na hta kwenda kibaha kuulizia kiwanja sio issue kabisa,
mimi mwaka huu nataka nivute jiko maisha ya usela yanachosha ila sasa kipengele mama la mama hayupo, basi kama humu yupo naye yuko dilema ebu anicheki tuyajenge , kikubwa umri uwe kuanzia miaka 25 hadi 30 sio issue, ajitegemee , mkiristo,
karibuni sana
Hongera sana Mungu akutangulie
 
Mbona mtaan vibint vipo ila hao wanaokuambia et umri wa miaka 22 aisee usithubutu utageuka mzaz badala ya mume muda wote ni kukemea tabia zake

Ingia kitaa wapo sana
 
mambo vipi waungwana,
jamani mimi ni mwamba hapa 32 toka niwepo hapa duniani, napatikana pande za dar, mwajiriwa kwenye kampuni kubwa tu si haba kubadili mboga na hta kwenda kibaha kuulizia kiwanja sio issue kabisa,
mimi mwaka huu nataka nivute jiko maisha ya usela yanachosha ila sasa kipengele mama la mama hayupo, basi kama humu yupo naye yuko dilema ebu anicheki tuyajenge , kikubwa umri uwe kuanzia miaka 25 hadi 30 sio issue, ajitegemee , mkiristo,
karibuni sana
🤣🤣🤣 tatzo domo zege linakusumbua ivi inakuaje mwanaume umeshafkisha 32s above et ujui kutongoza mpaka uje uku Jf uelezee uozo wako et sjui kubadilisha mboga syo shda, kununua kibaha syo haba 🤣🤣🤣, ujinga tu hapo n unatuabisha ss vdume
 
ilaumu ccm kaka sio mimi
 
Ila watu humu JF unaweza ulie na majibu 😀,,well kaka utapata usijali good luck on your search 😊
 
Back
Top Bottom