Breed type ni Great Dane.Mwenye kujua jina la hii mbeg, na kwa bongo naweza kuipata wapi!?View attachment 2407389
Inategemea na anavo lelewa. Muhimu kupata puppy(3 - 4) months ukamkuza mwenyewe. Hawezi sumbuaKuwa makini.... Anaweza kula wanao!! Anatisha
Sio rottweiler hyo boss. Rottweiler wanataka kufanana na GS sema mostly wanalaza masikioRottweiler
Inategemea na anavo lelewa. Muhimu kupata puppy(3 - 4) months ukamkuza mwenyewe. Hawezi sumbua
Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
Ni kweli kabisa hao mbwa(Doberman/Great Dane) ni wakubwa unatakiwa u handle with care.Hilo likikasirika kama huna manati ya mzungu linkutanguliza fasta
Kidogo limtoe roho jamaa angu Mungu saidia alikuwa na manati ya mzungu akalitanguliza
Hilo ni jibwa au Sokwe?[emoji848]Mwenye kujua jina la hii mbeg, na kwa bongo naweza kuipata wapi!?View attachment 2407389
Mbwa mkuu...[emoji1787][emoji1787]Hilo ni jibwa au Sokwe?[emoji848]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hilo lazima ulipie tozo kuishi naloUtaweza kulilisha hilo dubwasha? Kwa siku linajula kg 10 za nyama kama simba
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Wanabongo watu wa ajabu sana unafunga mbwa lakini huonani naye,hao mbwa wanapenda sana michezo kama hachezi nae hukai naye jiandae siku akikasirika.Ni kweli kabisa hao mbwa(Doberman/Great Dane) ni wakubwa unatakiwa u handle with care.
Ni muhimu pia afanyiwe Socialization and obedience training. Nje ya hapo kuishi nae ni changamoto.
Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
Hii ndo comment ya kibongobongo.Kuwa makini.... Anaweza kula wanao!! Anatisha