Natafuta aina hii ya mbwa

Natafuta aina hii ya mbwa

SNAP J

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2013
Posts
7,106
Reaction score
8,043
Mwenye kujua jina la hii mbeg, na kwa bongo naweza kuipata wapi!?
IMG_20221105_113151.jpeg
 
Hilo likikasirika kama huna manati ya mzungu linkutanguliza fasta

Kidogo limtoe roho jamaa angu Mungu saidia alikuwa na manati ya mzungu akalitanguliza
Ni kweli kabisa hao mbwa(Doberman/Great Dane) ni wakubwa unatakiwa u handle with care.

Ni muhimu pia afanyiwe Socialization and obedience training. Nje ya hapo kuishi nae ni changamoto.

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
 
Wanabongo watu wa ajabu sana unafunga mbwa lakini huonani naye,hao mbwa wanapenda sana michezo kama hachezi nae hukai naye jiandae siku akikasirika.
 
Back
Top Bottom