Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Hakuna kilichoniingia...nakaribia 50 na nitacomment chochote kile ninachotaka as long as sivunji sheria za nchi. Kama hupendi comments zangu just ignore me. Nitaendelea kukukera kila siku. Mark my words!Huu ujumbe najua umekuingia.
Wewe ni Mama tena aged Ila upo immaturity haujakomaa akili kabisa.
Leo hii Una miaka over 40 Ila haufikirii kuwa watoto watakuwa watasoma na hatimaye kuanza kutafuta Kazi na ajira je umewaza wakikutana na watu Kama wewe wanojadili mada za ngono na uzinzi katika maombi ya Kazi.
Usizeeke bila kukua hakikisha unakua na kuzeeka .
Shubamit!