Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
"""Uzi wa kazi wewe et umeleta habari za kimasikhara """ seriouslyNa mimi nipo hapa kujua kosa langu. Nielewesheni tafadhali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"""Uzi wa kazi wewe et umeleta habari za kimasikhara """ seriouslyNa mimi nipo hapa kujua kosa langu. Nielewesheni tafadhali.
Ni mimi nimeleta au nimemuonya mtu aliyeta hizo habari? Naomba unisaidie kujua kosa langu hapa lipo wapi. Naahidi kurekebisha"""Uzi wa kazi wewe et umeleta habari za kimasikhara """ seriously
Mkuu mi nipo pamoja na wewe huna kosa lolote ila ni vile unakuta mtu alikua anasubri tu akutolee uvivu...Ni mimi nimeleta au nimemuonya mtu aliyeta hizo habari. Naomba unisaidie kujua kosa langu hapa lipo wapi. Naahidi kurekebisha
Hapana mkuu huna kosa ni vile tuu jamaa amechukulia personal sanaUsishangae Poor Brain nionyeshe tafadhali.
Basi haya ni maajabuMkuu mi nipo pamoja na wewe huna kosa lolote ila ni vile unakuta mtu alikua anasubri tu akutolee uvivu...
Inaelekea kuna sehemu mlishawahi kutoelewana
Yaaah maana mi nimefatilia nimeona jamaa yupo personal attack sana aiseeeBasi haya ni maajabu
Nashukuru angalau umeona sina kosa lolote.Yaaah maana mi nimefatilia nimeona jamaa yupo personal attack sana aiseee
Mtu mmoja mwenye ID 5 ameamua kukunyoosha leo.Basi haya ni maajabu
AiseeMtu mmoja mwenye ID 5 ameamua kukunyoosha leo.
Huyo sio mzima ana shida ya akili maana sijaona ulipokosea amekuja amefura kama amemeza kaa la moto. Huyu wa kumsamehe tuWewe una matatizo ya akili.
Sio mimi nilieanza kuleta mambo ya ngono hapa..bali nilirespond comment ya mtu aliyeleta mambo ya kimasihara nikamwambia aache hayo mambo maana dada anahitaji kazi. Kosa langu nini?soma vzr uelewe kwanini nilijibu vile...niondolee nyege zako hapa we mtu. Tena kaa mbali.
Thanks. Nimemsamehe ila ameingia kwenye ignore list.Huyo sio mzima ana shida ya akili maana sijaona ulipokosea amekuja amefura kama amemeza kaa la moto. Huyu wa kumsamehe tu
Huna kosa, hao wana chuki na ww kwenye nyuzi nyingine, walikua wanasubiri ucomment chochote washuke na wewe jumlajumla, hata ungeandika nukta (.) Ungeambiwa ni mchochezi.Na mimi nipo hapa kujua kosa langu. Nielewesheni tafadhali.
Wewe kuna uzi nakutafuta nikutolee uvivu wee subiri tuu 😁😁😁😁Huna kosa, hao wana chuki na ww kwenye nyuzi nyingine, walikua wanasubiri ucomment chochote washuke na wewe jumlajumla, hata ungeandika nukta (.) Ungeambiwa ni mchochezi.
Thanks!Huna kosa, hao wana chuki na ww kwenye nyuzi nyingine, walikua wanasubiri ucomment chochote washuke na wewe jumlajumla, hata ungeandika nukta (.) Ungeambiwa ni mchochezi.
Mzee life langu tu lishanitolea uvivu, huku jf nitaishia kuharibu siku yako tu 😂😂Wewe kuna uzi nakutafuta nikutolee uvivu wee subiri tuu 😁😁😁😁
Wengine tuna gundu mkuu. Inasikitisha sanaMnaom-attack huyo Demi (sijuwi ni mbibi or mshua or mshangazi or pisi... it ain't my fakin biznec) hampo sawa na hamtendi haki kwake. Msiruke ukurasa. 😎
Huyo Demi ndiye ameanza kuwakemea wadau wa kimasikhara wasiharibu uzi huu, via comments no. 3 & 7 respectively..
View attachment 3193242
View attachment 3193243
Sasa kosa lake ni nini? Acheni unaa wa kiduanzi. 😎
Kwa mwenye capacity na connections ndani ya taaluma husika, mshikeni mkono binti mleta mada apate kazi afanye maisha. Bongo mufilisi.
-Kaveli-