Natafuta Ajira /kazi nimesomea Fani ya umeme jinsia KE

Natafuta Ajira /kazi nimesomea Fani ya umeme jinsia KE

Mnaom-attack huyo Demi (sijuwi ni mbibi or mshua or mshangazi or pisi... it ain't my fakin biznec) hampo sawa na hamtendi haki kwake. Msiruke ukurasa. 😎

Huyo Demi ndiye ameanza kuwakemea wadau wa kimasikhara wasiharibu uzi huu, via comments no. 3 & 7 respectively..

View attachment 3193242
View attachment 3193243

Sasa kosa lake ni nini? Acheni unaa wa kiduanzi. 😎

Kwa mwenye capacity na connections ndani ya taaluma husika, mshikeni mkono binti mleta mada apate kazi afanye maisha. Bongo mufilisi.

-Kaveli-
Mimi nimewatag hawa jamaa kwa sababu najua ni electrical engineers nilitarajia uzi ungekua productive kwa na mtoa mada apate msaada amekuja bi mkubwa kusema naharibu sasa mimi kuwatag dronedrake na Poor Brain naharibu nini?? Kama sio amewaza yake tu
 
Habari wana-JF.

Mimi ni binti Kwa sasa makazi yangu yapo Dar es Salaam

Natafuta Kazi au ajira katika taasisi au Kampuni zinazojihusisha na maswala ya umeme.

Nimesomea Fani ya umeme hadi Level three. (111).

Ninauwezo mkubwa wa kufanya shughuli hii Kwa ufanisi mkubwa na ninafundishika pia .

Ni msikivu na mchapakazi.

Sehemu ambazo naweza kufanya Kazi ni Kama umeme wa viwandani , majumbani na Tanesco .

Ikiwa kuna mtu anahitaji taarifa zangu za ziada naomba tuwasiliane Kwa hii Barua pepe

sajidamikidadi516@gmail.com

Au namba ya simu

+255 785 032 003
Unguja fani hiyo unapata kazi hotelini chap kabisa
 
Back
Top Bottom