Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Unajua maana ya Kibarua ? Mpaka mtu aombe connection ya Kibarua ni kwamba hachagui kazi wala hana option.., Hizi utopian ideas kwamba kila mtu anaweza kuamka na kujiajiri sijui zimetoka wapi...Hapa mbeya kaka kama huna harakati. Dili la fasta Uselevenda. Huko utapatia mtaji wa Biashara ndogo. Jiajiri.. Shida nyi wasomi mnadharau kazi ndogo mwisho mnazeekea Home.
Kwahio unasema anadharau kazi alafu anatafuta kazi ya kibarua (au kibarua sio kazi)?