natafuta mwanaume wa kula nae uzee
miaka 38 na kuendelea.vijana vijana hawa sina muda wa kupeana stress so usijisumbue
usiwe umepeana talaka na mkeo ,au mmefarakana kwa njia yoyote labda awe amefariki
uwe mtu mzima mwenye kujitambua
uwe unaishi dsm mahusiano ya mbalimbali sitaki.
kama kawaida hakuna kungonoka ila mwezi wa tisa tutaanza kutafuta mtoto .ndoa sio harusi tutafunga hata ya mkeka
uwe tayari kupima ngoma
sina masharti mengi kwa hapa nitachambua huko huko mbele ya safari.
email
missnatafuta2017@gmail.com
mwisho wa maombi ni week mbili toka leo