Ilitarakimura
JF-Expert Member
- Feb 7, 2016
- 2,505
- 1,645
Naona fursa imenipita pemben,Udalasalama na umri mkuu,mi nna miaka33 na nnaish Moro,ngoja waje waliotimiza mashariti husika mkuu.miaka 38 to infinity
uliniomba wapi maana hata pm sisomiMe nlishakuombaga n mpk leo kimya.... Dohh! Iv ungekua ndo ww nimekufanyia ivo n unahitaj, ungejckiaje?.... Haupo fair kbsa
Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
ahahaa vijana mna nguvu tafuteni vijana wenzenu msumbuane nao mkuuKasoro mwaka 1 dah!
Sent from my A37f using JamiiForums mobile app
Nilikupm cku1 baada ya kuirecover account yangu.... Bt dohh mpk leo upo kimya, sawa kam hukusomauliniomba wapi maana hata pm sisomi
nishasema nilikuwa kwenye situation ambayo nisingeweza kuwa na mpenzi so ndo naanza upya mkuu kama hutaki sawaNilikupm cku1 baada ya kuirecover account yangu.... Bt dohh mpk leo upo kimya, sawa kam hukusoma
Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
Ahaaa.... Kila lakheri mkuunishasema nilikuwa kwenye situation ambayo nisingeweza kuwa na mpenzi so ndo naanza upya mkuu kama hutaki sawa
Notedmiaka 38 na kuendelea mkuu .mimi nipo dar nimechoka kukaa peke yangu so nataka aliepo dar maana kuhama itakuwa shida kwangu
poa tu nitaishi nae kwangu akizingua namrushia vitu barabarani huko ndo atajua mwanaume uwajibikaji la sivo kuwa na adabu ule na kipofuInabidi uwe umeimarika kiuchumi kwa kauli hii shost, unaweza kumpata 40+ anakwambia mvumiliane yeye hana kitu.
ahaaa mi mpole sana kwenye keybord ujasiri unakuwepo tuNoted
Sikaribii hata huko PM nisije kuchambwa manaake unaonekana mtata wewe hahaaaa
poa tu nitaishi nae kwangu akizingua namrushia vitu barabarani huko ndo atajua mwanaume uwajibikaji la sivo kuwa na adabu ule na kipofu
Noted
Sikaribii hata huko PM nisije kuchambwa manaake unaonekana mtata wewe hahaaaa
Wacha mimi wa Nyanguge huku ntafute saizi yangu
Inabidi uwe umeimarika kiuchumi kwa kauli hii shost, unaweza kumpata 40+ anakwambia mvumiliane yeye hana kitu.
Mm vigezo vyote nimetimiza ,naweza kukupm?natafuta mwanaume wa kula nae uzee
miaka 38 na kuendelea.vijana vijana hawa sina muda wa kupeana stress so usijisumbue
usiwe umepeana talaka na mkeo ,au mmefarakana kwa njia yoyote labda awe amefariki
uwe mtu mzima mwenye kujitambua
uwe unaishi dsm mahusiano ya mbalimbali sitaki.
kama kawaida hakuna kungonoka ila mwezi wa tisa tutaanza kutafuta mtoto .ndoa sio harusi tutafunga hata ya mkeka
uwe tayari kupima ngoma
sina masharti mengi kwa hapa nitachambua huko huko mbele ya safari.
email missnatafuta2017@gmail.com
mwisho wa maombi ni week mbili toka leo
ahaaa mi mpole sana kwenye keybord ujasiri unakuwepo tu
ndio mkuu karibuMm vigezo vyote nimetimiza ,naweza kukupm?
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app