Natafuta Binti (Dada wakusaidia Kazi) Awe na Sifa hizi

Natafuta Binti (Dada wakusaidia Kazi) Awe na Sifa hizi

Status
Not open for further replies.

uran

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2013
Posts
10,392
Reaction score
15,948
Habari.
Natafuta binti wakusaidia kazi kidogo za ndani.

Awe na Umri at least kuanzia miaka 20 nakuendelea. Akiwa amefika Kidato cha Nne itapendeza sana.

Aweze kuishi kirafiki kabisa,
Nyumba ina Watu Wawili tu! Means yeye atakuwa watatu.

Atalipwa Tsh. 100,000/= kwa Mwezi. + Posho (kulingana na performance )
Free Accommodation (Chakula na Malazi).

Sehemu ya Kazi: Mikocheni DSM
Kama unasifa hizi na uko tayari, karibu PM tuzungumze.

Nb: Kufahamu kwenu au ndugu zako wa Karibu ni Muhimu sana na ni lazima.

~~~~
Updates...

05/11/2021.

Nilipata Pm nyingi kidogo kuhusiana na hii Kazi.
Bahati nzuri baada ya Mahojiano marefu nilibahatika kupata Mdada hadi sasa anafanya kazi vizuri sana.

Sasa Nahitaji tena Mwingine.
Sifa ziwe hizo hizo Tajwa hapo Juu.
Yaani angalau awe amefika kidato cha nne na Umri wake usiwe chini ya miaka 20.

Karibuni PM kwa mawasiliano kwa wale wanaohitaji.
Ukituma namba nakupigia, Tunazungumza.
 
Hebu ngoja nikuchekie binti flani hivi alikuwa kwa bro wangu. Alirudi kwao baada ya bro kusepa mission.

NB. Sina hakika Kama anajua kusoma maana ilikuwa nikimtumia msg wasap anajibu na voice note.
Hakuna shida, afanye mawasilano tu.
 
Hebu ngoja nikuchekie binti flani hivi alikuwa kwa bro wangu. Alirudi kwao baada ya bro kusepa mission.

NB. Sina hakika Kama anajua kusoma maana ilikuwa nikimtumia msg wasap anajibu na voice note.
Hakuna shida, afanye mawasilano tu.
 
Keep messaging...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom