Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona inbox hujibu.....mawasiliano yako???Hujajibu
Nime kupmSijaoona ujumbe wowote kutoka kwako.
Karibu tena Pm if you are still interested.
Vip ushampata 0692114825Habari.
Natafuta binti wakusaidia kazi kidogo za ndani.
Awe na Umri at least kuanzia miaka 20 nakuendelea. Akiwa amefika Kidato cha Nne itapendeza sana.
Aweze kuishi kirafiki kabisa,
Nyumba ina Watu Wawili tu! Means yeye atakuwa watatu.
Atalipwa Tsh. 100,000/= kwa Mwezi. + Posho (kulingana na performance )
Free Accommodation (Chakula na Malazi).
Sehemu ya Kazi: Mikocheni DSM
Kama unasifa hizi na uko tayari, karibu PM tuzungumze.
Nb: Kufahamu kwenu au ndugu zako wa Karibu ni Muhimu sana na ni lazima.
Habari.

~~~~
Updates...
05/11/2021.
Nilipata Pm nyingi kidogo kuhusiana na hii Kazi.
Bahati nzuri baada ya Mahojiano marefu nilibahatika kupata Mdada hadi sasa anafanya kazi vizuri sana.
Sasa Nahitaji tena Mwingine.
Sifa ziwe hizo hizo Tajwa hapo Juu.
Yaani angalau awe amefika kidato cha nne na Umri wake usiwe chini ya miaka 20.
Karibuni PM kwa mawasiliano kwa wale wanaohitaji.
Ukituma namba nakupigia, Tunazungumza.
Huyu jamaa atafuti mfanyakazi anatafuta mke shauri yako .mimi ni shuhuda wa hili anampigia mdada usiku na mchana mara anataka kuonana na wakati kashamwambia ataki lakini jamaa bado anakomaa anamtaka kimapenzi,hovyo sana huyu jamaa.Tayari?
Ni urgent kidogo.
kimenuka[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Acha utapeli bro ,sema unataka mke sio mfanyakazi
mkuu huyu jamaa hatafuti beki 3, anayafuta dem... kuna mtu kamwaga mtama hapo juuKila la kheri mkuu