Don Vito
JF-Expert Member
- Jul 15, 2018
- 1,342
- 2,105
AiseeHuyu jamaa atafuti mfanyakazi anatafuta mke shauri yako .mimi ni shuhuda wa hili anampigia mdada usiku na mchana mara anataka kuonana na wakati kashamwambia ataki lakini jamaa bado anakomaa anamtaka kimapenzi,hovyo sana huyu jamaa.
Kuweni makini watoto wa kike!