AiseeHuyu jamaa atafuti mfanyakazi anatafuta mke shauri yako .mimi ni shuhuda wa hili anampigia mdada usiku na mchana mara anataka kuonana na wakati kashamwambia ataki lakini jamaa bado anakomaa anamtaka kimapenzi,hovyo sana huyu jamaa.
Mwamba anawinda mbususu [emoji23]mkuu huyu jamaa hatafuti beki 3, anayafuta dem... kuna mtu kamwaga mtama hapo juu
😂😂😂 Nilikua sijaona mkuu🥲🥲mkuu huyu jamaa hatafuti beki 3, anayafuta dem... kuna mtu kamwaga mtama hapo juu
😆😆😆jamaa amezingua kinoma anamsumbua dogo tangu weekend mpaka leo.....ushawahi kuona mwenye uhitaji wa kazi analazimishwa kupewa kazi??sasa ndo anachofanya huyu jamaa.Hatimae kimenuka, ndomaana mimi nilipata wasiwasi baada yakuweka Tambo... Sijui mshahara 100k na make upurupu, Mara sijui mikocheni! Yaani zile sounds za kujimwambafy [emoji23][emoji23][emoji23].
Na Pale aliposema 'ukinitumia no. Nakupigia'. Ndo alipozidi kuniaminisha kwamba hapa hatafutwi mfanyakazi, Kuna agenda nyengine ya Siri nyuma ya pazia [emoji23][emoji23][emoji23]
Kumpa mdada 100K ni tambo? Maana me nyumba nazozijua wadada wanapewa 100K+Hatimae kimenuka, ndomaana mimi nilipata wasiwasi baada yakuweka Tambo... Sijui mshahara 100k na make upurupu, Mara sijui mikocheni! Yaani zile sounds za kujimwambafy [emoji23][emoji23][emoji23].
Na Pale aliposema 'ukinitumia no. Nakupigia'. Ndo alipozidi kuniaminisha kwamba hapa hatafutwi mfanyakazi, Kuna agenda nyengine ya Siri nyuma ya pazia [emoji23][emoji23][emoji23]
Yani kafanyaje? Mmepiga simu dogo wako akafanye hii kazi then ikawaje 😂😆😆😆jamaa amezingua kinoma anamsumbua dogo tangu weekend mpaka leo.....ushawahi kuona mwenye uhitaji wa kazi analazimishwa kupewa kazi??sasa ndo anachofanya huyu jamaa.
May Day May Day! We are going down i repeat we are going down.Huyu jamaa atafuti mfanyakazi anatafuta mke shauri yako .mimi ni shuhuda wa hili anampigia mdada usiku na mchana mara anataka kuonana na wakati kashamwambia ataki lakini jamaa bado anakomaa anamtaka kimapenzi,hovyo sana huyu jamaa.
Kwamba jamaa anataka ajipigie mbususu mwezi mzima kwa laki moja[emoji23][emoji23][emoji23]Huyu jamaa atafuti mfanyakazi anatafuta mke shauri yako .mimi ni shuhuda wa hili anampigia mdada usiku na mchana mara anataka kuonana na wakati kashamwambia ataki lakini jamaa bado anakomaa anamtaka kimapenzi,hovyo sana huyu jamaa.
Aisee.Huyu jamaa atafuti mfanyakazi anatafuta mke shauri yako .mimi ni shuhuda wa hili anampigia mdada usiku na mchana mara anataka kuonana na wakati kashamwambia ataki lakini jamaa bado anakomaa anamtaka kimapenzi,hovyo sana huyu jamaa.
Hujui uliza bossi.Hatimae kimenuka, ndomaana mimi nilipata wasiwasi baada yakuweka Tambo... Sijui mshahara 100k na make upurupu, Mara sijui mikocheni! Yaani zile sounds za kujimwambafy [emoji23][emoji23][emoji23].
Na Pale aliposema 'ukinitumia no. Nakupigia'. Ndo alipozidi kuniaminisha kwamba hapa hatafutwi mfanyakazi, Kuna agenda nyengine ya Siri nyuma ya pazia [emoji23][emoji23][emoji23]
Pengine huyo Dogo lako hajakuweka wazi.[emoji38][emoji38][emoji38]jamaa amezingua kinoma anamsumbua dogo tangu weekend mpaka leo.....ushawahi kuona mwenye uhitaji wa kazi analazimishwa kupewa kazi??sasa ndo anachofanya huyu jamaa.
Dadaangu usiweweseke kua makini ujue, Aya shauri yako...Kumpa mdada 100K ni tambo? Maana me nyumba nazozijua wadada wanapewa 100K+
Ukinipa no nakupigia, siku hizi mitandao mingi buku yako unapewa dk kibao.
Hapa mimi nina dk kibao all nets. Lete namba nikupigie [emoji23][emoji23]
Hapo sifa ni ipi?Kumpa mdada 100K ni tambo? Maana me nyumba nazozijua wadada wanapewa 100K+
Ukinipa no nakupigia, siku hizi mitandao mingi buku yako unapewa dk kibao.
Hapa mimi nina dk kibao all nets. Lete namba nikupigie [emoji23][emoji23]