Hapana mkuu, kuingia saa 2 asubuhi kutoka saa 11 jioni, Overtime haifiki 1000 kwa saa, nimefanya hapo, mshahara elfu 90, siku saba za mwanzo unafanya bure bila kupewa kitu, ukiambiwa ufanye na Overtime, utafanya mpaka saa tatu, niliwahi kufanya hapo kwa miezi miwili wakati naseti mipango yanguNimeulizia hapa naambiwa wanalipwa 110,000 per month na nyongeza ya 1000 kwa kila saa unayoongeza,na inategemea pia na kitengo ulichofanya
Wanaingia saa 2 asubuhi-11jioni
Duh hali siyo hali
Wewe ni fogo tu kaa hivyo hivyoau amchukue dadaake afanye hiyo kazi,ina maana ukoo wake wote huko kijijini wameajiriwa
Mbona magu haongezi mishahara au na yeye hapendi watumishi wawe na furaha?Acha assumptions lipa mshahara mfanyakazi awe na furaha kwanza ndio kitu muhimu zaidi..
Mnafungwa kamba msiondoke?kama watu wananwatesa wenzao haimaanishi huyu anayeomba mfanyakazi tusimuambie ukweli,hao wachina hawakuja kuomba mfanyakazi humu ndio maana hatujawaambia ukweli.Akaajiri dadaake!Daah pale ubungo external mshahara elfu 90 kwa mwezi, full kutukanwa na wachina, marufuku kutumia simu masaa ya kazi, daah nilifanya pale wakati nasubiria matokeo yangu ya kidato cha nne miaka ya nyuma sana, umenenea vyema Room 106
na mbali na hapo kama ni bint wa kujituma anaweza fanya kazi mbili kwa siku,, mfano mm nina sehem ya matunda biashara inaanza jioni mpka saa 5 usiku inamaana huyu binti anauwezo wa kumaliza huo mchana , akapumzika jioni akaenda kwenye kazi ingine inayofanania na yangu,Masaa 6 unalipwa elfu 3.
Halafu ukiangalia hii kazi anaweza pata uzoefu akaja kujiajiri kama mama ntilie.
Wasomi na Degee zao wanajitolea mwaka mzima kwa malipo ya chai na lunch.
Paza sauti na huko mkuu
I miss you nima.na mbali na hapo kama ni bint wa kujituma anaweza fanya kazi mbili kwa siku,, mfano mm nina sehem ya matunda biashara inaanza jioni mpka saa 5 usiku inamaana huyu binti anauwezo wa kumaliza huo mchana , akapumzika jioni akaenda kwenye kazi ingine inayofanania na yangu,
i miss u too , majukumu yananikimbiza insta ,, ila ni neema juu ya neemaI miss you nima.
Mwenyezi Mungu azidi kukupa afya njema kwa kweli
Naomba namba yako inbox pleasei miss u too , majukumu yananikimbiza insta ,, ila ni neema juu ya neema
ni mwanzo tu lkn...ni suala la muda lazima azingatie suala zima la mapato na faida kwa ujumla, au mwenzetu una experience na hizi biashara especially maeneo hayo pengine unafahamu faida atakayopata mtu kwa siku za mwanzoni kwa mtaji mdogo kabisa kwa makadirio? maana sometymz unaweza jikuta bosi anaambulia hasara ila mfanyakazi ananufaika na hyo hyo buku3 kwa maana yy anarudisha gharama zake kwanza na ndio maana mm binafsi naamn zaidi ktk makubaliano ya namna hyo kwa mfanyakazi asiye na uelewa wa mzunguko wa biashara (mgeni) eneo husika kuliko kulipana kwa asilimiaSio gubu,3000 per day,angesema bila kupika chapati ni sawa,hv unajua chapati kuandaa ule unga kila siku baada ya muda hayo maumivu ya kifua si mchezo
Nafanya hii biashara ndio maana naongea kwa uzoefu wangu,ni mwanzo tu lkn...ni suala la muda lazima azingatie suala zima la mapato na faida kwa ujumla, au mwenzetu una experience na hizi biashara especially maeneo hayo pengine unafahamu faida atakayopata mtu kwa siku za mwanzoni kwa mtaji mdogo kabisa kwa makadirio? maana sometymz unaweza jikuta bosi anaambulia hasara ila mfanyakazi ananufaika na hyo hyo buku3 kwa maana yy anarudisha gharama zake kwanza na ndio maana mm binafsi naamn zaidi ktk makubaliano ya namna hyo kwa mfanyakazi asiye na uelewa wa mzunguko wa biashara (mgeni) eneo husika kuliko kulipana kwa asilimia
Na mimi pia nipe no yako nimekumiss sana[emoji3][emoji2]i miss u too , majukumu yananikimbiza insta ,, ila ni neema juu ya neema
Umeshasema miaka ya nyuma sana (tuna assume more than 10 years ago)Daah pale ubungo external mshahara elfu 90 kwa mwezi, full kutukanwa na wachina, marufuku kutumia simu masaa ya kazi, daah nilifanya pale wakati nasubiria matokeo yangu ya kidato cha nne miaka ya nyuma sana,
Umeshasema miaka ya nyuma sana (tuna assume more than 10 years ago)
Unadhani bado hali ni ileile? Lazima kuna improvement jombaa
wewe unahusika.. maana!!!!Mbona magu haongezi mishahara au na yeye hapendi watumishi wawe na furaha?
AiseeKiwanda cha MMI Steel kinawalipa vibarua wake 3500/=per day ,kazi ni masaa 12,nashangaa mnaomkejeli mleta mada.
π€£π€£π€£π€£π€£π€£Iweke wewe
Kawaida sanaa mkuu hyo....mimi nilikuwa nasimamia cafe moja hvi,nilikuwa nawalipa elf 2 ada 2,500....tena hyo kutoka saa 1 usikuBuku 3 jamani π³π³π³ hata kama atakuwa anakula hapo hapo lakini daah maisha haya πββοΈπββοΈπββοΈ