Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,226
- 8,879
Habari mimi ndugu yenu Binadamu Mtakatifu ni mmiliki wa channeli ya youtube na blogu hasa kilicho nileta hapa ni kuwa kazi hii ni ngumu kuifanya pekeyangu pia bado visitors ni wachache sana hivyo kama wewe ni kujana na ungependa kushirikiana na mimi njooo PM
kuhusu nitakulipa nini hapa ninacho jaribu kusema ni kuwa utachukua 50% na mimi 50% ya mapato tutakayopata na pia hizo ndo zitakuwa share zako....ila hivyo ni baada ya mwezi au miezi tulio fanya kazi na kuona nini kunaingia na je tunamaendeleo au tupo palepale it depends.
Vigezo ambavyo ningependa uwe navyo ni hivi::::
1.Ningependa uwe mwanaume ila kwa mwanamke nayo sawa
2.Umri uwe chini kidogo 22 kushuka chini (kama umezidi pia tunaweza ongea)
3.Ujitoe maana mimi sio mtu wa kupatikana sana inshort nipo bize
Kiupande wangu nina 18 Years na natarajia kujiunga chuo mwaka huu (Mvulana)
Kama ungependa kutazama link ya blog hii apa SafariAfricaBlog.com
Kwa ambao pia wangependa kumiliki blogu kama hio nafanya kazi hiii...
Karibuni Sana