Natafuta blog na youtube channel patner ambaye tutasaidiana kukuza na kuweka contect baada ya mwezi kuna mafanikio nitaongeza na kukupa 50% ya mapato

Binadamu Mtakatifu

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2021
Posts
4,226
Reaction score
8,879
Habari mimi ndugu yenu Binadamu Mtakatifu ni mmiliki wa channeli ya youtube na blogu hasa kilicho nileta hapa ni kuwa kazi hii ni ngumu kuifanya pekeyangu pia bado visitors ni wachache sana hivyo kama wewe ni kujana na ungependa kushirikiana na mimi njooo PM

kuhusu nitakulipa nini hapa ninacho jaribu kusema ni kuwa utachukua 50% na mimi 50% ya mapato tutakayopata na pia hizo ndo zitakuwa share zako....ila hivyo ni baada ya mwezi au miezi tulio fanya kazi na kuona nini kunaingia na je tunamaendeleo au tupo palepale it depends.

Vigezo ambavyo ningependa uwe navyo ni hivi::::
1.Ningependa uwe mwanaume ila kwa mwanamke nayo sawa
2.Umri uwe chini kidogo 22 kushuka chini (kama umezidi pia tunaweza ongea)
3.Ujitoe maana mimi sio mtu wa kupatikana sana inshort nipo bize
Kiupande wangu nina 18 Years na natarajia kujiunga chuo mwaka huu (Mvulana)

Kama ungependa kutazama link ya blog hii apa SafariAfricaBlog.com

Kwa ambao pia wangependa kumiliki blogu kama hio nafanya kazi hiii...

Karibuni Sana
 
kuhusu nitakulipa nini hapa ninacho jaribu kusema ni kuwa utachukua 45% na mimi 55% ya mapato tutakayopata na pia hizo ndo zitakuwa share zako....ila hivyo ni baada ya mwezi au miezi tulio fanya kazi na kuona nini kunaingia na je tunamaendeleo au tupo palepale it depends.

Mimi nina content lakini sina vifaa
 
Vipi mkuu umelipia TCRA? Taratibu zao zikoje?
 
Sasa kwenye blog yako umeweka content ya njia rahisi kupata watu kusoma blog yako lakink wew unastruggle kupata watembeleaji, 😂😂😂😂😂 hii ndio yule jamaa alieandika njia rahisi ya kupata hela halafu akaende kwa tajiri kuomba hela ya kuprint kitabu chake
 
Habari, naomba kuuliza kama hautajali.

Umesema Blog/channel hamna visitors bado, lakini pia sio mtu wa kupatikana na upo busy ikimaanisha huyo mshirika ndiyo atahusika kuendesha blog na channel. Kwa kukadiria naweza kusema kwa asilimia 90 huyo mtu atakua anaendesha blog na/au channel, lakini kama kipato kikipatikana anachukua 45%.

Najaribu kuangalia unachoweka mezani sikioni. Nini kinazuia huyu msaidizi asifungue tu blog/channel yake na kuchukua mapato 100%?
 
Sio kwamba sina ila sijatosheka nao.
 
Sio ubize wa kiasi hicho ila kwa namna flani tunaweza kuongea na kufikia makubaliano
Inshort tutashughulika sawasawa na kitakachopatikana ni sawasawa yan 50 kwa 50
 
Habari mimi ndugu yenu Binadamu Mtakatifu ni mmiliki wa channeli ya youtube na blogu hasa kilicho nileta hapa ni kuwa kazi hii ni ngumu kuifanya pekeyangu pia bado visitors ni wachache sana hivyo kama wewe ni kujana na ungependa kushirikiana na mimi njooo PM

kuhusu nitakulipa nini hapa ninacho jaribu kusema ni kuwa utachukua 50% na mimi 50% ya mapato tutakayopata na pia hizo ndo zitakuwa share zako....ila hivyo ni baada ya mwezi au miezi tulio fanya kazi na kuona nini kunaingia na je tunamaendeleo au tupo palepale it depends.

Vigezo ambavyo ningependa uwe navyo ni hivi::::
1.Ningependa uwe mwanaume ila kwa mwanamke nayo sawa
2.Umri uwe chini kidogo 22 kushuka chini (kama umezidi pia tunaweza ongea)
3.Ujitoe maana mimi sio mtu wa kupatikana sana inshort nipo bize
Kiupande wangu nina 18 Years na natarajia kujiunga chuo mwaka huu (Mvulana)

Kama ungependa kutazama link ya blog hii apa SafariAfricaBlog.com

Kwa ambao pia wangependa kumiliki blogu kama hio nafanya kazi hiii...

Karibuni Sana

Umemonetise vipi website yako?
 
Blog yako imejaa spam. Sijui umelipia security? Maana bila hivyo hakuna mtu atasoma, nimeongia nikaona spam nikatoka ila hapo nimesoma umezungumzia habari za YouTube kuongeza viewers.

Achana na contents zilizo nje ya blog yako. Kuwa consistent usichanganye ugali na pilau
 
hahhahahhahahahh sawa naenda kufuta content zote nianze 1
 
Back
Top Bottom