Natafuta boyfriend atakayekuwa mume wangu baadae!

huwezi kunambia msichana mrembo wa aina yako kutoka pangani tanga, barabara ya watu wa asili ya mapenzi huna mchuchu hadi leo.
 
daah!!! Hata siamini mda wote huo hujawahi tongozwa na mwanaume yoyote yule? Kwa jinsi ulivotoa muonekano wako
 
Madam z kweli umjieleza vizuri nimekuelewa.mimi nipo ila elimu yangu 4m 4 nimeajiriwa na serikali mwalimu wa primary.i am 30yrs.nirushie namba zako tuongee zaidi.nibipu kwenye 0764013908 nikupigie
 
ni pm nikupe mapenzi ya dhati nina shahada ya uzamivu kwenye malavi davi!!!!!!!!!!!
 
0657416150 karibu sana
Habari,

Nadhani nipo katika jukwaa sahihi la mahusiano. Mimi naitwa xx, mzaliwa wa Pangani Tanga kwa mama Mdigo na baba Msambaa. Umri wangu ni miaka 26. Nimemaliza first degree (BA-Econimics) mwaka jana, UDSM. Nimewahi kuwa na uhusiano na mkaka fulani kuanzia mwaka wa kwanza hadi mwaka jana tulipomaliza chuo tukaja kuachana kwani niligundua ana wasichana wengine na mwishowe alinitamkia kuwa anayetaka kumuoa ni yy, na wala sio mimi.

Kimaumbile, ni mrefu wa wastani, rangi maji ya kunde (nadhani naeleweka). Si mnene sana lakini nina makalio makubwa ya wastani. Kwa sasa nimeajiriwa hapa Dar es Salaam katika NGO fulani maeneo ya Mikocheni na makazi ni maeneo ya kurasini.

Ningependa mwanaume wa aina yeyote kimaumbile lakini awe ni mwajiriwa/au aliyejiajiri....kabila ni yeyote ila awe ni mkristo.....na kama atakuwa muislam basi awe tayari kubadili dini. Sifa ya ziada, ni mwenye uwezo wa kuutendea haki mwili wangu katika mambo fulani.

Mahusiano yetu ya boyfriend na girlfriend yanaweza chukua miezi 10 hadi mwaka kabla hatujawa wachumba rasmi kwani naamini tutakuwa tumeshafahamiana.

Whoever's ready we can start having PMs exchanging
 
sawa naomba tuwasiliane kwa namba 0753082524
 
kama bado hujapata, niandikie kupitia altordenis@yahoo.com!
 
Waoaji wapo hapa ila inabidi uwe muangalifu na watakaotaka kukupotezea muda. Wenye bahati zao wamepata wachumba kupitia JF na sasa wako kwenye ndoa zao raha mustarehe. Kila la heri na baraka.
 
Sasa applications zote hizi si utahitaji recruitment agency? Kila la kheri mwaya.
 
Siku hizi kutongoza ni janga la kitaifa. Ona madogo walivojilipua kwa namba zao za simu. Wangejua madam z ni bonge la basha sijui wangefanyaje.
 
Hahahaa. Usiniambie? Basi na mie nitoe namba hapa nibahatishe. Ngoja Maxence Melo aamke.
Siku hizi kutongoza ni janga la kitaifa. Ona madogo walivojilipua kwa namba zao za simu. Wangejua madam z ni bonge la basha sijui wangefanyaje.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom