Natafuta boyfriend atakayekuwa mume wangu baadae!

Kama upo tayr tuwasiliane nipe namba zako mm ni mwajiriwa wa serikal nipo morogoro pia nilimaliza degree udsm so kama vp tutafutane npe mawasiliano yako
 
Habari,

Nadhani nipo katika jukwaa sahihi la mahusiano. Mimi naitwa xx, mzaliwa wa Pangani Tanga kwa mama Mdigo na baba Msambaa. Umri wangu ni miaka 26. Nimemaliza first degree (BA-Econimics) mwaka jana, UDSM. Nimewahi kuwa na uhusiano na mkaka fulani kuanzia mwaka wa kwanza hadi mwaka jana tulipomaliza chuo tukaja kuachana kwani niligundua ana wasichana wengine na mwishowe alinitamkia kuwa anayetaka kumuoa ni yy, na wala sio mimi.

Kimaumbile, ni mrefu wa wastani, rangi maji ya kunde (nadhani naeleweka). Si mnene sana lakini nina makalio makubwa ya wastani. Kwa sasa nimeajiriwa hapa Dar es Salaam katika NGO fulani maeneo ya Mikocheni na makazi ni maeneo ya kurasini.

Ningependa mwanaume wa aina yeyote kimaumbile lakini awe ni mwajiriwa/au aliyejiajiri....kabila ni yeyote ila awe ni mkristo.....na kama atakuwa muislam basi awe tayari kubadili dini. Sifa ya ziada, ni mwenye uwezo wa kuutendea haki mwili wangu katika mambo fulani.

Mahusiano yetu ya boyfriend na girlfriend yanaweza chukua miezi 10 hadi mwaka kabla hatujawa wachumba rasmi kwani naamini tutakuwa tumeshafahamiana.

Whoever's ready we can start having PMs exchanging

PM please... then other things will follow...!
 
Ni PM namba yako mi ni mume wa mtu na watoto
Habari,:A S-heart-2:

ëêèéeNingependa mwanaume wa aina yeyote kimaumbile lakini awe ni mwajiriwa/au aliyejiajiri....kabila ni yeyote ila awe ni mkristo.....na kama atakuwa muislam basi awe tayari kubadili dini. Sifa ya ziada, ni mwenye uwezo wa kuutendea haki mwili wangu katika mambo fulani.

Whoever's ready we can start having PMs exchanging[/QUOT
 
nimependezwa na ww tuwasliane kwa namber 0655347097
Whoever's ready we can start having PMs exchanging[/QUOT
 
nipo arusha ni mjasiria mwili a.k.a enterpreneur napambana na ugumu wa maisha mbaya nina 28 age mwiraq original cwez kupm me mshamba ebu we funguka kwangu tuanze maisha ya mume na muke taaaaaratib-
 
Mbona hujarudi kutoa mrejesho madam z? Unamaanisha hujapata mpaka leo?
 
Habari,

Nadhani nipo katika jukwaa sahihi la mahusiano. Mimi naitwa xx, mzaliwa wa Pangani Tanga kwa mama Mdigo na baba Msambaa. Umri wangu ni miaka 26. Nimemaliza first degree (BA-Econimics) mwaka jana, UDSM. Nimewahi kuwa na uhusiano na mkaka fulani kuanzia mwaka wa kwanza hadi mwaka jana tulipomaliza chuo tukaja kuachana kwani niligundua ana wasichana wengine na mwishowe alinitamkia kuwa anayetaka kumuoa ni yy, na wala sio mimi.

Kimaumbile, ni mrefu wa wastani, rangi maji ya kunde (nadhani naeleweka). Si mnene sana lakini nina makalio makubwa ya wastani. Kwa sasa nimeajiriwa hapa Dar es Salaam katika NGO fulani maeneo ya Mikocheni na makazi ni maeneo ya kurasini.

Ningependa mwanaume wa aina yeyote kimaumbile lakini awe ni mwajiriwa/au aliyejiajiri....kabila ni yeyote ila awe ni mkristo.....na kama atakuwa muislam basi awe tayari kubadili dini. Sifa ya ziada, ni mwenye uwezo wa kuutendea haki mwili wangu katika mambo fulani.

Mahusiano yetu ya boyfriend na girlfriend yanaweza chukua miezi 10 hadi mwaka kabla hatujawa wachumba rasmi kwani naamini tutakuwa tumeshafahamiana.

Whoever's ready we can start having PMs exchanging

pole ila kama uko serios utapata
 
Mbona umeyanadi makalio? au ili aje ayafanyie nini huyo mmeo mtarajiwa?
 
Naungana na wazo alilotoa mtumishi wetu. Mshirikishe Mungu katika hili. Siyo jambo la maskhara hata kidogo.
 
Habari,

Nadhani nipo katika jukwaa sahihi la mahusiano. Mimi naitwa xx, mzaliwa wa Pangani Tanga kwa mama Mdigo na baba Msambaa. Umri wangu ni miaka 26. Nimemaliza first degree (BA-Econimics) mwaka jana, UDSM. Nimewahi kuwa na uhusiano na mkaka fulani kuanzia mwaka wa kwanza hadi mwaka jana tulipomaliza chuo tukaja kuachana kwani niligundua ana wasichana wengine na mwishowe alinitamkia kuwa anayetaka kumuoa ni yy, na wala sio mimi.

Kimaumbile, ni mrefu wa wastani, rangi maji ya kunde (nadhani naeleweka). Si mnene sana lakini nina makalio makubwa ya wastani. Kwa sasa nimeajiriwa hapa Dar es Salaam katika NGO fulani maeneo ya Mikocheni na makazi ni maeneo ya kurasini.

Ningependa mwanaume wa aina yeyote kimaumbile lakini awe ni mwajiriwa/au aliyejiajiri....kabila ni yeyote ila awe ni mkristo.....na kama atakuwa muislam basi awe tayari kubadili dini. Sifa ya ziada, ni mwenye uwezo wa kuutendea haki mwili wangu katika mambo fulani.

Mahusiano yetu ya boyfriend na girlfriend yanaweza chukua miezi 10 hadi mwaka kabla hatujawa wachumba rasmi kwani naamini tutakuwa tumeshafahamiana.

Whoever's ready we can start having PMs exchanging

Mura hapo hawezi kukuelewa atajua una minofu ya kutosha kukatwakatwa mapanga pindi utakapomletea za kuleta, na kwa kweli utayapata, wanaume wa shoka hawana mchezo. Vinginevyo toa tafsiri iliyo wazi watu wakuelewe, acha kufumba fumba.
 
Umeshakuwa naye huyo mmoja tu then mkaachana? Maana isije ikawa tuko WANGAPI?
 
Back
Top Bottom