Natafuta boyfriend

Natafuta boyfriend

Kwa umri wako we co wakutafta boyfriend we ushazeeka tafta mme tena mahali ulipe ww fanya mahesabu ulianza kutmika na miaka 15 co ushatmika miaka 16 huu muda was kua na family hacha uboya ww unakua bibi kesho kutwa
 
Nimezinguliwa sana huko pm,... Nakutana na midume to.
 
Habari zenu wana JF,

Ninahitaji boyfriend alie serious na awe na ajira awe mkristo
asiwe mlevi awe na elimu kuanzia O'level.

WASIFU WANGU

Mimi nina umri wa miaka 31
Maji ya kunde
Mkristu
Nimeajiriwa
Nina kipato cha wastani tu
Nina jitegemea

Asanteni
Ni pm
 
Back
Top Bottom