Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
Si ajabu nzi kufia kwenye kidonda.Utafia kifuani
😂😂😂Mchepuko mkuu😂😂😂Equation x anapenda sana wanawake walojazia dada tafadhali akija PM kimbia anabalaa si la nchi hii.
mzabzab huyo mkimbie kabisa usijitese dada angu.
DeepPond huyu akija jua kabisa ameoa na atakufanya mchepuko wa kudumu Ila mchepuko mkuu akigundua(MamaJ) utapigwa juju.
Carrasco putin huyu yeye anataka wanawake wenye pesa tu.
National Anthem huyu achana nae tu maan mhhhhh.
Mshana Jr huyu asikudanganye ameoa na ana mchepuko hapa ndani.
Hutaki wazeeSina mengi nna miaka 26 natafuta boyfriend for serious relationship tupendane na kuangalia nini future imetuandikia pamoja.. nipo Dar
SIFA ZANGU
White
Tall ft 5'5
Kibonge wastani
self employed
Muslim
SIFA ZA MWANAUME NIMTAKAE
Umri 30 - 40
Awe mrefu
Muslim
Employed/self employed
Nasubiri tangazo lako nijitokezeMashallah Kila la kheri
@Uyo lovelovie mchokozi sn ujue[emoji4][emoji23][emoji23][emoji23]Mchepuko mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
Wew njoo tuyamalize watu wale mpunga 😀😀Nasubiri tangazo lako nijitokeze
😂😂😂Kanichekesha nilikuwa sijui km Kuna Mchepuko mkuu@Uyo lovelovie mchokozi sn ujue[emoji4]
Watu 20 tu wanatosha isiwe na michango, hakuna pombe wala mziki mchele kilo 25 na soda kret 5 inatosha kabisaWew njoo tuyamalize watu wale mpunga 😀😀
Kila la heri babanachepuka maana umeringa sana
😊😘Kila la heri baba
Kabisa mchele kilo 20 izo tano tutaenda kuanzia maishaWatu 20 tu wanatosha isiwe na michango, hakuna pombe wala mziki mchele kilo 25 na soda kret 5 inatosha kabisa
Malizia ftar uje tupange bajetKabisa mchele kilo 20 izo tano tutaenda kuanzia maisha
NakujaMalizia ftar uje tupange bajet
Yes Mkuu