Natafuta Boyfriend

Natafuta Boyfriend

Equation x anapenda sana wanawake walojazia dada tafadhali akija PM kimbia anabalaa si la nchi hii.
mzabzab huyo mkimbie kabisa usijitese dada angu.
DeepPond huyu akija jua kabisa ameoa na atakufanya mchepuko wa kudumu Ila mchepuko mkuu akigundua(MamaJ) utapigwa juju.

Carrasco putin huyu yeye anataka wanawake wenye pesa tu.
National Anthem huyu achana nae tu maan mhhhhh.
Mshana Jr huyu asikudanganye ameoa na ana mchepuko hapa ndani.
😂😂😂Mchepuko mkuu😂😂😂
 
Sina mengi nna miaka 26 natafuta boyfriend for serious relationship tupendane na kuangalia nini future imetuandikia pamoja.. nipo Dar

SIFA ZANGU
White
Tall ft 5'5
Kibonge wastani
self employed
Muslim

SIFA ZA MWANAUME NIMTAKAE

Umri 30 - 40
Awe mrefu
Muslim
Employed/self employed
Hutaki wazee
 
Daaah! Ungepunguza umri huo. Wengine itatugharimu siku nyingi mbele kufika miaka 30. Ila vigezo vingine vyote √
 
Muwe mnaleta mrejesho bas kama kapatikana au lah, najua pm zaid 30 zimeingia.. usipo update tunaona uko mawindoni kusaka manyumbu
 
Watu 20 tu wanatosha isiwe na michango, hakuna pombe wala mziki mchele kilo 25 na soda kret 5 inatosha kabisa
Kabisa mchele kilo 20 izo tano tutaenda kuanzia maisha
 
Back
Top Bottom