Tanzania tushampata Lukaku tayariMbona umri mdogo kilo Nyingi...??
Mi mrefu na umbo langu kubwaMbona umri mdogo kilo Nyingi...??
😂😂😂Cavan pale alipo ana 74kg na kazeeka mifupa imekula chumviTanzzania tushampata Lukaku tayari
Kwanza kwa mwana mazoez kwel kufikisha kilo 65 plus kwa age yako ni ngumu sanaMi mrefu na umbo langu kubwa
daah sasa mm nipo hvo, Halafu mnanichukulia Kama spo serious vilee, anaeweza kunionyesha mwanga tafadhali anisaidie😂😂😂Cavan pale alipo ana 74kg na kazeeka mifupa imekula chumvi
Watu tunatofautiana, sure uzito wangu ni 73kgKwanza kwa mwana mazoez kwel kufikisha kilo 65 plus kwa age yako ni ngumu sana
Kama unaona haiwezekani, sio mbayaKilo 73 sio mchezo
Nimecheza sana mpira mtaani, ndondo kama zote ila nilistopisha kdog sababu ya skuli, so now natafuta sehemu ya kutokeamdogo wangu unahitaji connection ya aina gani? ushacheza yosso? vipi ligi daraja 4,3 na 2?
6, 8, 7, 11, beki tatu pia nawezaUnacheza namba ngapi??
Kwa kweli basketball cjawah kucheza, Sina kabisa ujuzi na huo mchezoJifunze basketball kwakua ushabobea kwenye mpira wa miguu ili uwe mbobezi wa vyote.Kimo chako sio kinaruhusu.
ushauri mzuri SanaaJifunze basketball kwakua ushabobea kwenye mpira wa miguu ili uwe mbobezi wa vyote.Kimo chako sio kinaruhusu.
sasa unatafuta timu ama? hilo mbona rahisi...nenda timu timu yoyote mtaani jiunge nao
[/QUOTE
Lengo langu nitoboe mpaka ligi kuu, maana uwezo wa kusakata kabumbu ninao