Natafuta Connection za kucheza mpira

Natafuta Connection za kucheza mpira

Dhaje

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2020
Posts
236
Reaction score
195
Mimi ni kijana wa miaka 19, Nina kipaji kikubwa Cha kucheza mpira wa miguu, urefu wangu ni futi7 na uzito wa 73kg, npo Temboni-KIMARA.

Naombeni msaada wenu wadau
 
mdogo wangu unahitaji connection ya aina gani? ushacheza yosso? vipi ligi daraja 4,3 na 2?
Nimecheza sana mpira mtaani, ndondo kama zote ila nilistopisha kdog sababu ya skuli, so now natafuta sehemu ya kutokea
 
sasa unatafuta timu ama? hilo mbona rahisi...nenda timu timu yoyote mtaani jiunge nao
 
sasa unatafuta timu ama? hilo mbona rahisi...nenda timu timu yoyote mtaani jiunge nao
[/QUOTE
Lengo langu nitoboe mpaka ligi kuu, maana uwezo wa kusakata kabumbu ninao
 
Back
Top Bottom