Natafuta Connection za kucheza mpira

Natafuta Connection za kucheza mpira

Nenda Chamazi Azam, omba kufanya nao mazoezi
Kwanini tunashindwa kumuelewa dogo anachohitaji ni connection, kumwambia "nenda azam omba kufanya nao mazoezi" sidhani kama umemsaidia zaidi ya kumsumbua.

Azam ni taasisi kubwa na ina taratibu zake mtu hawezi akavamia tu na kuomba kufanya mazoezi Kwa lengo la kuonyesha kipaji.
 
Nikushauri tu Mdogo wangu connection kwenye soka tofauti na mziki au ajira zinazohusu masuala ya elimu kama uhasibu, sheria nk.

Soka mchezo wa uwanjani na connection zake hutokea hapohapo uwanjani hasa Kwa kinda anaetaka kutusua Kwa Mara ya kwanza.

Miaka19 uliyonayo unaweza kuona ni umri Mdogo lakini kwenye soka hasa Kwa kijana anaepambana kuonekana ni miaka mingi sana.

Kama unakipaji kweli kama ulivyozungumza basi umepoteza muda mwingi sana kucheza kwenye viwanja visivyoonekana, visivyokua na exposure maana yangu ni kuwa labda unakaa kimara bonyokwa, king'ongo, mpiji magohe, mabwepande kisemvule au chanika, kama ulikua unapiga tizi uko na maeneo ya namna hiyo utaishia kusifiwa ila ni ngumu sana kutoboa.

Jaribu kujichanganya, jaribu kutoka kwenda kwenye viwanja vya mchangani lakini ambavyo ata wachezaji wakubwa hutumia muda wao wa ziada kufanya mazoezi au hata kwenda kuangalia mazoezi mazingira hayo,
Mfano uwanja wa KIFA mburahati, manzese nyuma ya Polisi urafiki, uwanja wa karume tff. na vingine vingi wadau watanisaidia kuorodhesha ambapo hata ligi daraja la2 na 3 hufanyika katika viwanja hivyo, tumia hata nauli kufikia maeneo ya namna hiyo kuna viwanja vina historia ya kutoa wachezaji.
 
Mimi ni kijana wa miaka 19, Nina kipaji kikubwa Cha kucheza mpira wa miguu, urefu wangu ni futi7 na uzito wa 73kg, npo Temboni-KIMARA.

Naombeni msaada wenu wadau
Miaka 19 na mchezaji mpira unakilo hizo basi ww boxer dogo inakufaa ndio maana huoni wakikusajili
 
Nakupa ushauri na wenzio uwambie:
1.Tafuta mtu achukue "video clip" ikionyesha uwezo wako wa "kukaba, kutoa pasi,kufunga magoli au magoli uliyofunga ,ujanja wa kumkwepa adui na mbinu zingine za mpira".
2.weka matukio yote kweye "CD"
3.fahamu kutumia kompyuta,na uwe na mawasiliano ya kompyuta(mfano "e-mail").
4.Tafuta mawakala wa wachezaji kwenye mtandao,fanya mawasiliano nao na uwape "CD"yako.
5.Tafuta mwanasheria akutengenezee mkataba mzuri wa kukulinda na kukupa fursa ya kulinda na kukuza kipaji chako.
6.jiendeleze katika kozi fupi za lugha za mawasiliano kama " english course", kifaransa kispania, kijerumani.
7.Kuwa karibu na kocha wa Timu za daraja la juu ili akujaribu au ujitolee kufanya mazoezi bila malipo!!
8.Tembelea ofisi za TFF upate kujua mengi katika fursa na mawasiliano ya mawakala na wadau wa soka!!!!
 
Nikushauri tu Mdogo wangu connection kwenye soka tofauti na mziki au ajira zinazohusu masuala ya elimu kama uhasibu, sheria nk.

Soka mchezo wa uwanjani na connection zake hutokea hapohapo uwanjani hasa Kwa kinda anaetaka kutusua Kwa Mara ya kwanza.

Miaka19 uliyonayo unaweza kuona ni umri Mdogo lakini kwenye soka hasa Kwa kijana anaepambana kuonekana ni miaka mingi sana.

Kama unakipaji kweli kama ulivyozungumza basi umepoteza muda mwingi sana kucheza kwenye viwanja visivyoonekana, visivyokua na exposure maana yangu ni kuwa labda unakaa kimara bonyokwa, king'ongo, mpiji magohe, mabwepande kisemvule au chanika, kama ulikua unapiga tizi uko na maeneo ya namna hiyo utaishia kusifiwa ila ni ngumu sana kutoboa.

Jaribu kujichanganya, jaribu kutoka kwenda kwenye viwanja vya mchangani lakini ambavyo ata wachezaji wakubwa hutumia muda wao wa ziada kufanya mazoezi au hata kwenda kuangalia mazoezi mazingira hayo,
Mfano uwanja wa KIFA mburahati, manzese nyuma ya Polisi urafiki, uwanja wa karume tff. na vingine vingi wadau watanisaidia kuorodhesha ambapo hata ligi daraja la2 na 3 hufanyika katika viwanja hivyo, tumia hata nauli kufikia maeneo ya namna hiyo kuna viwanja vina historia ya kutoa wachezaji.
Makurumla,Kinesi.
 
Nimependa ushauri wako
 
Sasa namba za Masau Bwire napata wp kiongozi
Mtafute FB,Masau ni mwalimu sina uhakika shule gani ila Kinondoni,ukiacha usemaji pia Masau ni makamu mwenyekiti wa Ruvu shooting siyo mtu mdogo.
Jaribu kuwasiliana naye ,kuwa mnyenyekevu,mvumilivu na tabia nzuri utafanikiwa.

Halafu tafuta watu Kama kina Mgosi,Pawasa,Shaffih,Amy Ninje mkurugenzi wa Ufundi wa zamani wa TFF anamiliki timu ya Mbao tafuta mawasiliano mtandaoni waeleze shida yako.
Pia tafuta timu cheza ndondo cup,Iddi Nado alitokea Ndondo cup akaenda Mbeya city halafu Azam.
 
Au nenda Bwalon mtafute Sure boy,Aboubakary Salum mkubwa atakuambia cha kufanya.Naongelea Sureboy baba siyo mtoto wake wa Azam fc.Anakaa karibu na Juma K Juma
kama anamtaka sure boy bwaloni ani pm ,atampata fasta
 
Kilo 73 sio mchezo
Mi mrefu na umbo langu kubwa
Tanzania tushampata Lukaku tayari
Mbona umri mdogo kilo Nyingi...??
Nenda kajifunze ubondia...uchezee vitasa, Mpira hapana...!!? 73Kg!!?
Miaka 19 kilo 73? una urefu gani labda?
Punguza kilo then njoo nikupe interview
Miaka 19 na mchezaji mpira unakilo hizo basi ww boxer dogo inakufaa ndio maana huoni wakikusajili
Kama kawaida ya wabongo. Yani mmeangukia kwenye umri na kilo!!

Kuna kitu kinaitwa bmi mnakijua kweli? Kwa huo urefu wake mnashangaa nini kuwa na uzito huo?
 
Back
Top Bottom