Natafuta dada wa hiari

Natafuta dada wa hiari

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Habari yenu mmu.Mimi natafuta dada wa hiari. Anaye jiskia mimi nimuite dada anakaribishwa. Lakini anatakiwa awe na tabia nzuri, mcheshi, adabu, sura nzuri na sauti nzuri. Vile vile awe na uwezo wa kunifundisha njia inayo paswa. wale madada mapepe wasinipm. wala kunitumia email. Mimi napenda mziki, kuogelea, kuangalia movie za action na zile za kutisha mfano wrong turn. Sijasema madada wanao kunywa pombe wana tabia mbaya na sija sema walokole ndo nawataka tu. Mimi atakaye nifurahisha poa. mia
 
Haya wa-dada , kaka wa hiyari huyo hapo, undugu si kuzaliwa pamoja , undugu ni pamoja na kufahamiana na kuelewana na kusaidiana. Rafiki wa leo ndio ndugu wa kesho. Kila la kheri mzee wa 100 !
 
mambo vipi mkuu?. mbona umepotea sana? fanya mpango jmosi tukutane kozi ntakuja maeneo ya huko kitaa kwenu. nambie mida gani utakua home. mia
 
Mimi najitolea kuwa dada yako wa hiari, ila sipendi kaka mkorofi, asiyefanya kazi (kuingiza kipato) wala asie mcha Mungu, karibu

Habari yenu mmu.Mimi natafuta dada wa hiari. Anaye jiskia mimi nimuite dada anakaribishwa. Lakini anatakiwa awe na tabia nzuri, mcheshi, adabu, sura nzuri na sauti nzuri. Vile vile awe na uwezo wa kunifundisha njia inayo paswa. wale madada mapepe wasinipm. wala kunitumia email. Mimi napenda mziki, kuogelea, kuangalia movie za action na zile za kutisha mfano wrong turn. Sijasema madada wanao kunywa pombe wana tabia mbaya na sija sema walokole ndo nawataka tu. Mimi atakaye nifurahisha poa. mia
 
Mimi hapa nipo dada wa hiari, ni mcheshi, nina tabia nzuri,adabu, mpole, ila cna sura nzuri ni wakawaida, na sauti yangu cjui ka ni nzuri, nitakufundisha njia inayopaswa, napenda mziki, kuogelea cwezi, napenda kuangalia movie zozote, ila za kutisha naogopa, na sinywi pombe wala kuvuta cgara,
Nadhani nitakuwepo kwenye bahati nasibu.
 
haya umenipata jamani...dada nipo tayari...ila napenda kujua umri wako ili nijue nitakua dada wa hiyari au mdogo wako wa hiyari.............

Habari yenu mmu.Mimi natafuta dada wa hiari. Anaye jiskia mimi nimuite dada anakaribishwa. Lakini anatakiwa awe na tabia nzuri, mcheshi, adabu, sura nzuri na sauti nzuri. Vile vile awe na uwezo wa kunifundisha njia inayo paswa. wale madada mapepe wasinipm. wala kunitumia email. Mimi napenda mziki, kuogelea, kuangalia movie za action na zile za kutisha mfano wrong turn. Sijasema madada wanao kunywa pombe wana tabia mbaya na sija sema walokole ndo nawataka tu. Mimi atakaye nifurahisha poa. mia
 
Uhusiano huu utaishia kwenye udada tu? Au ni namna nyingine ya ku ....?<br />
Sisi wazee wa zamani tunang'amua mambo mapema!!!
<br />
<br />
nipo serious mkuu. haki ya Mungu tena. Na huu undugu utaishia kwenye udada tu. mia
 
Mimi najitolea kuwa dada yako wa hiari, ila sipendi kaka mkorofi, asiyefanya kazi (kuingiza kipato) wala asie mcha Mungu, karibu

Asante dada. mimi nafanya kazi kwa bidii wala sio mkorofi na kila jumapili nakua zangu kanisani. ntafurahi sana kama na wewe ni mcha Mungu.
Nimefurahi sana. mia
 
Mimi hapa nipo dada wa hiari, ni mcheshi, nina tabia nzuri,adabu, mpole, ila cna sura nzuri ni wakawaida, na sauti yangu cjui ka ni nzuri, nitakufundisha njia inayopaswa, napenda mziki, kuogelea cwezi, napenda kuangalia movie zozote, ila za kutisha naogopa, na sinywi pombe wala kuvuta cgara, <br />
Nadhani nitakuwepo kwenye bahati nasibu.

mkuu mbona wewe ni zaidi ya dada?. halafu siku hizi Madame B kanibadilikia, baadae ntakupm. vipi yule mtoto wetu bonge hajambo. mia
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom