figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
mambo vipi mkuu?. mbona umepotea sana? fanya mpango jmosi tukutane kozi ntakuja maeneo ya huko kitaa kwenu. nambie mida gani utakua home. miaHaya wa-dada , kaka wa hiyari huyo hapo, undugu si kuzaliwa pamoja , undugu ni pamoja na kufahamiana na kuelewana na kusaidiana. Rafiki wa leo ndio ndugu wa kesho. Kila la kheri mzee wa 100 !
bado dada sijampata. wewe nimekuzoe nataka mwingine mpya kabisa. miabado tu hujapata mia?
Habari yenu mmu.Mimi natafuta dada wa hiari. Anaye jiskia mimi nimuite dada anakaribishwa. Lakini anatakiwa awe na tabia nzuri, mcheshi, adabu, sura nzuri na sauti nzuri. Vile vile awe na uwezo wa kunifundisha njia inayo paswa. wale madada mapepe wasinipm. wala kunitumia email. Mimi napenda mziki, kuogelea, kuangalia movie za action na zile za kutisha mfano wrong turn. Sijasema madada wanao kunywa pombe wana tabia mbaya na sija sema walokole ndo nawataka tu. Mimi atakaye nifurahisha poa. mia

<br />Uhusiano huu utaishia kwenye udada tu? Au ni namna nyingine ya ku ....?<br />
Sisi wazee wa zamani tunang'amua mambo mapema!!!
Yule mama aliyeachika uliyekuwa unamtafuta hukumpata?
Mimi najitolea kuwa dada yako wa hiari, ila sipendi kaka mkorofi, asiyefanya kazi (kuingiza kipato) wala asie mcha Mungu, karibu
Mkuu naona locus of control ipo juu kabisa yaani huonyesha kama una uhitaji kivileee.
Mimi hapa nipo dada wa hiari, ni mcheshi, nina tabia nzuri,adabu, mpole, ila cna sura nzuri ni wakawaida, na sauti yangu cjui ka ni nzuri, nitakufundisha njia inayopaswa, napenda mziki, kuogelea cwezi, napenda kuangalia movie zozote, ila za kutisha naogopa, na sinywi pombe wala kuvuta cgara, <br />
Nadhani nitakuwepo kwenye bahati nasibu.
Dada hatafutwi - ni majaliwa ya Mungu.